Desperate single women, acheni complication

Desperate single women, acheni complication

Kama ndo hivyo kwamba alie na miaka mingi ndo ana experiance ya kuridhisha mwanamke basi na vilevile kwa mwanamke mwenye miaka mingi anaweza mridhisha mwanaume zaidi so ni haki tena sana wachague hata kama umri umeenda.
inaonyesha hujui unachokisema!.kuridhisha mtu na kuanzisha familia ni sawa?! unajua kuwa kuna mda maalumu wa mwanamke kubeba uja uzito?
 
unajua we ndo mtu wakwanza kuniambia uchi wa mwanaume unazeka dada nakuhakikishia uchi wa mwanamke uliochoka ni mbaya hata kwa kuutazama tu
unachakaa mpendwa. tena uchi wa mwanaume uliochoka unakuwa mbaya mara mbili zaidi. unaweza kuwa ndo mara yako ya kwanza kusikia coz nshakuambia wanawake sie tu wavumilivu, mnatusema mara tunanuka nyuchi tunatulia tu wakati na nyie mnanuka kibeberu,shahawa zenu zinanuka, mnachakaa uchi ila tupo tu tumetulia tunawaangalia mnavyotulalamikia humu mnasahau yenu.
 
Unapata wp muda wa kufuatilia hizo mambo? Mwanamke hata akiwa na umri gani kama mzuri ni mzuri tu, waache waishi walivyoamua ilimrad hawakusumbui kwny maisha yako.
 
inaonyesha hujui unachokisema!.kuridhisha mtu na kuanzisha familia ni sawa?! unajua kuwa kuna mda maalumu wa mwanamke kubeba uja uzito?
najua ndio kuna mda maalumu wa kubeba mimba,
nikuulize akishabeba mimba?
 
unachakaa mpendwa. tena uchi wa mwanaume uliochoka unakuwa mbaya mara mbili zaidi. unaweza kuwa ndo mara yako ya kwanza kusikia coz nshakuambia wanawake sie tu wavumilivu, mnatusema mara tunanuka nyuchi tunatulia tu wakati na nyie mnanuka kibeberu,shahawa zenu zinanuka, mnachakaa uchi ila tupo tu tumetulia tunawaangalia mnavyotulalamikia humu mnasahau yenu.
dada nakuliza ulishawahi kuwona uchi uliochoka au kuzeka kwa kusuguliwa sana
 
najua ndio kuna mda maalumu wa kubeba mimba,
nikuulize akishabeba mimba?
ooh! nimekuelewa unamaanisha kukoma kwa hedhi sio? sawa ipo, ila unajua na nyie mnakoma pia?? usitegemee mwanaume wa 45year akafanya kitu ataishia kuhema tu,ni vile tu sema vile visperm vikitoka bado zina kanguvu ya kurutubisha yai ila sasa wataalamu wanasema mtoto kichwani zinakuwa hazimo kihivyooo coz sperms zishachoka
 
wanatusumbua sana huku mtaani dada yangu! utasikia nataka sherehe ya Harusi yangu nataka iwe ya mfano! mfano upi wakati umetumika mpaka umechoka!
Kaka badilisha mwelekeo wa satellite yako ligeukie upande mwingine; huko unakowatafutia siko; utawapata tu ambao hawasumbui 😉
 
you seem to be very bitter to women, why?
usituambie nothing's personal wakati inaonekana una ishu na hawa watu
kwa hiyo mtu akiweka hata vigezo gani, au akiwa hata na ndoto za kuwa na ndoa ambayo haiwezekani how is this your business?? when you say nothing is personal it means it's your business
but in this case it's not
You know what?!! You could be right!! In fact, You are right! As I always say, ukisikia "yalaaaah"......
 
ooh! nimekuelewa unamaanisha kukoma kwa hedhi sio? sawa ipo, ila unajua na nyie mnakoma pia?? usitegemee mwanaume wa 45year akafanya kitu ataishia kuhema tu,ni vile tu sema vile visperm vikitoka bado zina kanguvu ya kurutubisha yai ila sasa wataalamu wanasema mtoto kichwani zinakuwa hazimo kihivyooo coz sperms zishachoka
Watoto wa yule mzee wa Mikocheni wanamatatizo ya akili?! utafiti wako huo feki!
 
52fe1a0764120d44d9e776840e55620a.jpg
 
Back
Top Bottom