Desperate single women, acheni complication

inaonyesha elimu yako ndogo! kwenye dabate huchallenge mtoa mada unadadavua mada! ukielewa hilo niko tayari kwa mjadala.
hahahahahahaha pole wewe mwenye elimu kubwa na yet mambo mengi tu yanakushinda kwani wale tunaonyanyuka na kusema point of correction or objection huwa tunairaise kwa ajili ya topic au mtu aliyeisema,pole mkuu we bado sana aisee
 
point of correction/objection kwenye topic au contents?! ungekuwa na hoja itoe watu wote wajadili sio unijadili mimi kuwa sina mke nina stress! wakati hunijui sikujui! hizo ni illusions siwezi kuanika maisha yangu mtandaoni.
 
people speak what is iniside their hearts na wewe hiyo ponda ponda yako ya wanawake mkuu sio bure lazima huna bahati na hawa viumbe mtu ambaye ana uhusino wenye afya na hajakuwa rejected na more that 4 women huwezi kumsikia hapa akitweta kwa mahasira,so wewe hata kama hujaanika najua moyoni mwako unakubali kuwa huo ndo ukweli mahusiano yako yote ni ya machozi tena ni wewe ndo mtoa machozi na kuachwa au la umeshakuwa rejected kwa sababu huna vigezo ambavyo wadada wanavitaka kutoka kwa wanaume wa maisha yao
 
nonsense
 
Kwani wadada wanaoenda kwa waganga wanaenda kutafuta vikopo vya chooni?

Sio kisa unavaa suruali basi unatakwa.

Katika ubora wako......
Wanaume wanaokujaga kutukana wanawake humu ni rejects.

Wengine are in unhappy relationships.
Mtu ana mke wake tunashinda wote saa saba usiku kutukanana humu.

Masaa yametofautiana,kwako saa saba usiku kwao saa 12 jioni....
 
Ivi unaamini kabisa kwamba anaweza kuwa rejected kiasi hicho? Kutokuwa rejected na wanawake 4 ndio kitu gani?! Kwamba una furaha?!!! Inawezekana usikubaliane nae lakini haimanishi ana hasira na kumbuka furaha yako ni wewe mwenyewe usiwe mjinga... Kama furaha yako inategemea jinsia nyingine pole sana kwasababu siku ukiikosa utajinyonga bure au ndio utapiga watu risasi kwa kukataliwa.
 
Haha he keeps on talking about women wanting money and him having a lot of money. Yet kutwa kulia lia tu. Ndo ajue money is not everything.
 
Aiseee yaani tunashare same story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…