zamani sana hio,
nakumbuka tukichagua desktop zamani unaangalia mlango ni RW au R tupu?
RW inamaanisha ni read and Write yaani inaweza kusoma DVD/CD na kuweza kuandika kwenye DVD/CD (ku burn cd).
Ila mlango ukiwa ni R tu ina maana unasoma tu CD ila huwezi kuandika. empty cd ni kwa ajili ya kuandikwa kama mlango haukubali haiwezi kutambua empty.
sema unaweza ukaubadili na siku hizi hio milango ya cd imejaa kibao kwa bei za kutupa.
kuhakiki angalia huo mlango wako wa CD una neno RW kwa mbele?