memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 259
- 166
mashine yangu haina wifi kuna namna yoyote naweza fanya ika connect wifi kutoka kwa simu yangu
Haraka haraka nunua wifi ya usb bei ni around 10k mpaka 20k kkoo.
Kama unataka kitu cha uhakika andaa around 50k mpaka 100k Kanunue wifi ya pcie wifi 6 kabisa ambayo ina built in Bluetooth, hapa utapata wifi na Bluetooth ya kisasa kwenye desktop yako.
asante sana mkuu nimepata mwangaSio kila desktop ina wifi(network wireless) ila kama haina nunua usb wi-fi adapter ambayo inakuwa na CD yake kwa ajili ya installation na nyingine zinakuwa driver-free installation yani hauhitaji kufanya installation.
Pia unaweza kununua Wireless Network Card WiFi Adapter PCIe japo hii sio rahisi kama Usb Wi-Fi adapter.
nashukuru sana chiefHaraka haraka nunua wifi ya usb bei ni around 10k mpaka 20k kkoo.
Kama unataka kitu cha uhakika andaa around 50k mpaka 100k Kanunue wifi ya pcie wifi 6 kabisa ambayo ina built in Bluetooth, hapa utapata wifi na Bluetooth ya kisasa kwenye desktop yako.
Desktop nyingi za kizamani hazina wifi adapterunatumia window gani?
wifi is a wireless networking technology that allows devices such as computers (laptops and desktops), mobile devices (smart phones and wearables), and other equipment (printers and video cameras) to interface with the Internet. ... Internet connectivity occurs through a wireless router
..hivyo bas itategemeana na kompyuta yaka mfano unatumia window7 or xp wich they are not inthe updating market nowadays, unaweza kwenda kwenye setting then network, na utaenda sehem ambpo utaitajika ku add network connection, ukimaliza iki kitu itakutaka apo easy tu washa sm yak hotspot then kwny kompyta yako kwenye iyo network uliyo adi itakuonesha list ya available wifi...but kma unatumia window10&8 is very simple sabbu ipo sehem yaku switch wifi&hotspot tethering
asante kwa kunipa mwangaSio kila desktop ina wifi(network wireless) ila kama haina nunua usb wi-fi adapter ambayo inakuwa na CD yake kwa ajili ya installation na nyingine zinakuwa driver-free installation yani hauhitaji kufanya installation.
Pia unaweza kununua Wireless Network Card WiFi Adapter PCIe japo hii sio rahisi kama Usb Wi-Fi adapter.
desktop yangu nafikiri haina wifi wala bluetooth ndo tatizo ila kuunganisha naweza na inatumia window 10unatumia window gani?
wifi is a wireless networking technology that allows devices such as computers (laptops and desktops), mobile devices (smart phones and wearables), and other equipment (printers and video cameras) to interface with the Internet. ... Internet connectivity occurs through a wireless router
..hivyo bas itategemeana na kompyuta yaka mfano unatumia window7 or xp wich they are not inthe updating market nowadays, unaweza kwenda kwenye setting then network, na utaenda sehem ambpo utaitajika ku add network connection, ukimaliza iki kitu itakutaka apo easy tu washa sm yak hotspot then kwny kompyta yako kwenye iyo network uliyo adi itakuonesha list ya available wifi...but kma unatumia window10&8 is very simple sabbu ipo sehem yaku switch wifi&hotspot tethering
Natumae Mtoa Mada umeshapata muongozo.
Cc Mahondaw
![]()

unachotafuta wewTatizo sio OS, Tatizo ni drivers za hiyo adaptorJe tatizo itakuwa ni hiyo windows 11??
Tatizo sio OS, Tatizo ni drivers za hiyo adaptor
Tumia 'iobit' nimeweka hapa: Naomba kujuzwa program nzuri ya kuweza kurudisha driver post #10
Scan na itakuonyesha drivers za kufanyia update.
Baada ya update kukamilika disconnection haitokuwepo.