Desktop application

zigi 01

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
213
225
Naomba kujua ni language ipi nianze nayo ili kua mzuri kwenye desktop application! target ni kutengeneza desktop application ili iweze kuingiza data kwenye database.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pancras Suday

Verified Member
Jun 24, 2011
7,785
2,000
Ni vizuri ungetueleza kwanza wewe unajua language zipi ili tukupe iliyo bora


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,356
2,000
Kama umemastet java unaweza kutumia javafx framework tutorial na vitabu vipo vingi.

Kama unaifahamu C/C++ QT framework ni nzuri sana na ningekushauri ungeenda na hii
Desktop apps nyingi hutumia hii framework mfano mzuri vlc media player.

Kama upo na .NET FRAMEWORK Ya microsoft basi tumia visual basic au c#

Ila QT framework ndio nzuri.

Hata HTML5 kwa combination ya javascript na css unaweza kuunda deaktop app ila ufanisi wake siujui.
 

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,340
2,000
Mkuu download visual studio anza c# faster kusoma ingia tutorial point sidhan kuna mtu hawezi elewa hii lugh ni nyepese sana kwa gui na ina features nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom