Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,126
Kaka it is not kwamba sitaki matumizi mazuri ya ardhi. IMHO nadhani ishu ya planning za maeneo is a bigger ishu huku bongo kuliko aina ya majengo ambazo kiukweli ni extravagant. Can we really talk about shopping malls za maghorofa wakati watu wanakwepa kodi, umeme hakuna na vitu vingine vya msingi havipo..we are serious? we need to start with simple and basic stuffs badala ya kukimbilia century ingine kwene time machine. I think kama kuna proper planning hata kuimprove in the future inakuwa rahisi maana majengo au miundiombinu ina functional time yake, so issue hapa ni kuweka vipaumbele..sadly hakuna mtu anayeona umuhimu wa town planning. Seems like everyone is busy living 'for now' and act as selfish as they could.Abdulhalim alivyosema ya kuwa Tanzania hakuna uhaba wa ardhi ni kweli, lakini unafaa kuangalia mbele kwa sababu population inaongezeka kila kukicha na very soon population itakuwa nyingi na itabidi mmaximise use ya hiyo land iliopo. Tafadhali angalieni hiyo link ya shopping malls zilizopo hapa kwetu
Kenya's Malls and Famous Retail Chains: Photogallery - SkyscraperCity
Kaka it is not kwamba sitaki matumizi mazuri ya ardhi. IMHO nadhani ishu ya planning za maeneo is a bigger ishu huku bongo kuliko aina ya majengo ambazo kiukweli ni extravagant. Can we really talk about shopping malls za maghorofa wakati watu wanakwepa kodi, umeme hakuna na vitu vingine vya msingi havipo..we are serious? we need to start with simple and basic stuffs badala ya kukimbilia century ingine kwene time machine. I think kama kuna proper planning hata kuimprove in the future inakuwa rahisi maana majengo au miundiombinu ina functional time yake, so issue hapa ni kuweka vipaumbele..sadly hakuna mtu anayeona umuhimu wa town planning. Seems like everyone is busy living 'for now' and act as selfish as they could.
Mkuu you have a point lakini unajua kwamba lile jendo linaorigal lake ambalo lilikuwa na floor moja???mkuu ... kanyagio
kwenye design kuna consideration nyingi sana, ile design kwanza is a flexible design na ilizingatia nearby design ..... kumbuka pia anaye desigh huwa anapewa requirements na client for consideration .....designer alichofanya ni ku avoid kuondoa original design ya chuo kikuu kwa kutoziba muonekano wa university hills pamoja na majengo ya Halls of residents yasionekane .... pia kutokana na type of agreement na chuo kikuu investor alimpa requirement designer(architect) kwamba angehitaji kujenga facility yenye simple design and not massive
kubwa zaidi ujenzi ule wa mlimani city ni very flexible kwani ukiamua kubadili matumizi inakua rahisi sana.....kumbuka lile ni hall moja kubwa .... angalia partition ya maduka yale imefanywa na glass (glazing) hivyo ukitaka kuweka kiwanda unavunja tuu vile vioo na zile bulkhead ceiling za gypsum na ikawezekana .... pia waweza geuza kuwa warehouse au hata ukafanya kanisa
Mkuu you have a point lakini unajua kwamba lile jendo linaorigal lake ambalo lilikuwa na floor moja???
Sababu za kubadilishwa inaweza kuwa ni zako sina uhakika na hilo!