Design simple za Nyumba vyumba 2


Mkuu hebu nisaidie maana hivi vipimo vya square meter huwa vinanichanganya kidogo...je huwa mnazidisa urefu na upana au kwa case kama ya hapo juu huwa mnatafuta total ya square meter ya kila chumba(59.37)... naomba unipe square meter za msingi tu wa hiyo nyumba hapo juu.
 
Ndio lakin kwa sasa naendelea na ujenz.nitakuchek ck nyingine
 
Mimi ninataka ramani ya vyumba vitatu ni bei gani?
 
Miti nje ya nyumba ingefaa ile ya matunda
 
Rangi za kuta ziweje!? Angalia udongo wa eneo husika ukoje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…