masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Hapo si Kigamboni kweli?View attachment 335547 View attachment 335548 Barabara hii ni mpya, haina hata miaka mitatu!
Lakini kilaa inyeshapo mvua kubwa ,hii ndio hali halisi, na hivi ndo ilivyokuwa leo asubuhi.
Haihitaji kuwa injinia kusema kuwa hapa kuna design failure.
Uwazi uliowekewa kupasisha maji ya mvua ni mdogo mno.
Kazi kwenu TANROADS.
Hiyo ni classical design failure.Hapo barabara haina tatizo katika kudesign, tatizo ni channel za maji mkuu..... Anyway maengineer wanapaswa kulaumiwa kwa hii, huwez ukatengeneza barabara halafu miundombinu ya maji iwe mibovu
Design failure ni pamoja na barabara kutoperform kama ilivyotarajiwa kwa makosa yanoyoonekana sasa wakati wa matumizi.Hapo barabara haina tatizo katika kudesign, tatizo ni channel za maji mkuu..... Anyway maengineer wanapaswa kulaumiwa kwa hii, huwez ukatengeneza barabara halafu miundombinu ya maji iwe mibovu
Pale sanaki wabichi, makalavati yaliyowekwa ni madogo mno.Ahaaa, hayo maji yamekosa njia hata ya kuelekea baharini means kuna njia ya maji hapo bomoa bomoa ndo only solution kwa hiyo sehemu, maji yapate njia yake... hata kama wakieka opening kubwa bado yanatakiwa yacross yapete njia ya kuelekea baharini na eneo lile lote lina nyumba za watu. So sio design failure bali ni opening ya maji kusafiri ndo inatakiwa
View attachment 335547 View attachment 335548 Barabara hii ni mpya, haina hata miaka mitatu!
Lakini kilaa inyeshapo mvua kubwa ,hii ndio hali halisi, na hivi ndo ilivyokuwa leo asubuhi.
Haihitaji kuwa injinia kusema kuwa hapa kuna design failure.
Uwazi uliowekewa kupasisha maji ya mvua ni mdogo mno.
Kazi kwenu TANROADS.
Kufeli kwa design ni pamoja na wrong/inaccurate data.Hiyo siyo design failure wandugu bali ni: Inaccurate and incomplete design!
Hydrologists failed to accurately analyse the catchment flow which resulted to wrong prescription on the road of a drainage structure size.
Structure Engineer ana-design culvert au daraja kwa kufuata hydological data kutoka kwa hydrologist. Also careful assessment of catchment flow ingemwezesha highway engineer to provide adequate design of road vertical alignment!
Maji yamejaa upande wa juu, hali ikoje upande wa pili? Upande wa uelekeo wa bahari.Design failure ni pamoja na barabara kutoperform kama ilivyotarajiwa kwa makosa yanoyoonekana sasa wakati wa matumizi.