Dereva

Joined
Dec 22, 2018
Posts
10
Reaction score
6
DEREVA NATAFUTA GARI LA MKATABA/MAHESABU KWA AJILI YA BOLT – DSM πŸš—

Anatafuta gari kwa ajili ya kazi ya Bolt mkoani Dar es Salaam. Ni dereva mzoefu na mwaminifu anayetafuta gari imara kwa ajili ya biashara, akilenga zaidi magari yenye ufanisi kama Toyota IST, Passo, Vitz, Ractis, RunX au mengineyo yanayofaa kwa kazi za Tax mtandaoni.

Makubaliano yanaweza kuwa ya mkataba wa umiliki (Drive to Own) au mahesabu ya kila siku kulingana na maelewano na mmiliki.

Kama unalo gari au una connection ya mtu anayetafuta dereva makini wa kumpa chombo, tafadhali wasiliana naye kupitia:
πŸ“ž Simu: 0611 947177

Tafadhali nisaidie kusambaza tangazo hili lifike kwa wahusika.
Kuna zawadi ya 100,000.
Ahsante!
 

Attachments

  • Screenshot_20260724_190827_WhatsApp.jpg
    124.5 KB · Views: 7
Kwenye kutoa zawadi apo ndio dereva anajikaanga mwenyewe (apo unataka kutoa hongo na mtoa hongo ni vigumu kua mzalendo wa chombo)
 
Kwenye kutoa zawadi apo ndio dereva anajikaanga mwenyewe (apo unataka kutoa hongo na mtoa hongo ni vigumu kua mzalendo wa chombo)
Tuna perceptions tofauti.
Zawadi ni hiari na hutolewa na mtu bila kulazimishwa
Hongo ni fedha inayotolewa ili kumpaka mafuta au kumpendelea mtu ili apate faida fulani kinyume cha sheria au taratibu.

Sasa hapo sijajua umekusudia lipi natoa rushwa au natoa zawadi kwa hiari yangu.
 
Haya sema una miaka mingapi, uzoefu wako ni wa muda gani,
Una mdhamini anaefanya kazi serikalini?
 
Haya sema una miaka mingapi, uzoefu wako ni wa muda gani,
Una mdhamini anaefanya kazi serikalini?
Nna miaka 29
Nmefanya Bolt kwa miaka miwili.
Ndio nna wadhamini wanaofanya kazi serikalini.
Ahsantee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…