Dereva wa Saudia

Dereva wa Saudia

Kwenye uislam mwanamke anatakiwa ajistiti mwili wote kasoro viganja viwili na uso wake.

Uislam upi dada?? Ingelikuwa kihivyo, saudia ingechukua mda wa karne 8 kuruhusu udereva?? Angalia andiko. Linasema, Saudia itaanza kuruhusu madereva wanawake from next year. Upo?? Mwanamke kuonesha uso wake wote ni "Ukahaba",
 
Back
Top Bottom