Dereva wa bodaboda anasumbua kwenye hesabu ya wiki

Hello guys,

Kwa wiki 4 sasa huyu dereva hajaniletea hesabu ingawa kipindi cha mwanzo alikuwa ananileteaga, kila wiki anakuja na sababu mara kauguliwa na mtoto, Mara mvua, Mara pikipiki imekamatwa..etc

Bahati nzuri sitegemei bodaboda inilishe, kwa wamiliki wa bodaboda humu JF mliokutana na changamoto hizi mliwezaje ku-solve hii issue?

Naombeni ushauri kabla sijahitimisha maamuzi yangu.

Majungu sitaki..
Hakuna uhusiano kati ya mambo ya biashara na mambo ya kipumbavu kama kumamatwa, kuugua nk...inatakiwa alete hesabu bila stori yeyote.....
 
Thats all, huwezi tajirika kirahisi kama sio roho mbaya, bahili kupitiliza kiufupi inatakiwa kubwa Uso mbuzi, ukicheka na mwajiriwa wako anakuambukiza umaskini. Jifunzeni kwa wahindi na waarabs wanakuwa very mafia kwa wafanyakazi wao that's y wanaendelea.
Then hizo hali utaishi nazo hadi lini?
 
Yaani uza hiyo pikipiki au tumia kwa matembezi yako,
Usipofanya hivyo hiyo pikipiki utaikosa.
 
Zamani nilikuwa naambiwa hivyo na nilikuwa na huruma sana ila kwa sasa aise sina ninachoelewa zaidi ya kuniwekea kipande changu, vijana wapo wengi wenye uhitaji kwanini msumbuane?
 
Hello guys,

Kwa wiki 4 sasa huyu dereva hajaniletea hesabu ingawa kipindi cha mwanzo alikuwa ananileteaga, kila wiki anakuja na sababu mara kauguliwa na mtoto, Mara mvua, Mara pikipiki imekamatwa..etc

Bahati nzuri sitegemei bodaboda inilishe, kwa wamiliki wa bodaboda humu JF mliokutana na changamoto hizi mliwezaje ku-solve hii issue?

Naombeni ushauri kabla sijahitimisha maamuzi yangu.

Majungu sitaki..
Chukua pikipiki yako yasije kukupata yaliyonikuta mm
 
Matajiri wote.tajiri kukupa hata 100.bila ya kuifanyia kazi anaona tabu.vipi usipopeleka hesabu yake?
Tajiri anaweza akawa na vitu vingi ambavyo
Havitumii.ila nenda kamuombe kama atakupa.yuko radhi vioze ila sio akupe.
Vipi siku upitishe hesabu yake?
Mifano ninayo mingi mno...
 
Habari za leo?

Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani.

Ikiwa pikipiki itakuwa mpya basi mkataba utakuwa wa mwaka mzima, na ikiwa Pikipiki itakuwa si mpya tutajadili muda wa mkataba kulingana na hali ya Pikipiki.

Simu :- 0784 645 900

Natanguliza Shukrani.

Hussein.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom