Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,866
kweli mkuuKwa jinsi hali ilivyo ngumu? ? Hakawii kuja dume limevaa kidada, nasahauri akipatikana mu mpekue
alosema asiwe na leseni naniInamaama iko chuo kiko uchocholon adi asiwe na vigezo inaitajika lesen ya udereva hapo akikamatwa je
ndio labdaAkiwa mwanaume atamgegeda uyo binti nini
haahhaaaaahaaaaaaha humu ndani raha tupuKwa jinsi hali ilivyo ngumu? ? Hakawii kuja dume limevaa kidada, nasahauri akipatikana mu mpekue
kwani ukiweka namba yako ya sikuzote kuna ubaya gani mpaka usajiri line mpya?Jinsia: Mwanamke(lazima)
Age: 21-35
Sifa: Awe mchakarikaji, mshapu, ajue kuendesha vizuri kwani atakuwa anampeleka binti chuo na kumrudisha wakati anamsubiria apige misele mingine.
Asiwe na visingizio, awe available muda wote.
Naombeni mnisaidie kusambaza ujumbe huu kila mahali, nitaweka namba baadae ngoja nisajili.
hahahaahahhanipo