Ipo Toyota Sienta ItakufaaHabar za majukumu wana forum kwa majina naitwa Twaha Mussa ninatafuta gari kwa ajili ya taxi yaani Uber Nina account zote Uber na bolt na ziko active kwa yeyote atakaye hitaji dereva napatikana kwa namba zifuatazo
0657099950
Toyota sienta nafikiri ina cc 1496 siyo mbaya inaweza ikafanyakazi japo mmiliki wa gari usimbane sana dereva hesabu iwe nafuu kuendana na uchumi wa TOZO mafuta bei juu account tozo bei juu na mmiliki wa gari ukiwa bei juu hakuna kazi apo itakuwa lawama dailyIpo Toyota Sienta Itakufaa
Nitumie no yako tuwasilianeIpo Toyota Sienta Itakufaa
Sorry Jombaaa wameishaichukua labda kama wakishindwa nitakuchekiNitumie no yako tuwasiliane
Nikikupa Spacio hesabu unaleta ngapi kwa siku?0656539177 dereva nina accounts zote mbili uber na bolt napatikana tegeta kwa ndevu
Ina cc ngap mkuu 140000 kwa wiki kwa siku 20000Nikikupa Spacio hesabu unaleta ngapi kwa siku?
OkSorry Jombaaa wameishaichukua labda kama wakishindwa nitakucheki