msema_kweli
Senior Member
- Nov 6, 2013
- 178
- 102
Mimi ni kijana Mtanzania ni dereva na fundi mechanical elimu yangu ni darasa LA saba, nina uzoefu wa kutosha kwenye udereva na ufundi nimesoma chuo cha usafirishaji NIT udereva na chuo cha ufundi VETA
Niko tayari kufanya kazi popote Tanzania madaraja niliyonayo ni A, A1, B, C, C1, C2, C3, D na E
Mawasiliano yangu ni 0784 619897
Niko tayari kufanya kazi popote Tanzania madaraja niliyonayo ni A, A1, B, C, C1, C2, C3, D na E
Mawasiliano yangu ni 0784 619897