Dereva mzoefu natafuta kazi

Madoido

Senior Member
Jan 24, 2011
134
15
HABARI YENU WADAU, KHERI YA MWAKA MPYA!

MIMI NI DEREVA MWENYE UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA KUMI, NA NISHAFANYA KAZI KATIKA MASHIRIKA MBALIMBALI.

NI MUHITIMU WA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT) NA NINA LESENI INAYO NIRUHUSU KUENDESHA MAGARI KAMA IFUATAVYO


A, B, A1, C1,C2,C3,D,E,F na G

Tafadhali kwa mwajiri aliye serious nipigie au sms- - 0719 800 078

ASANTENI

NAPATIKANA KINONDONI DAR ES SALAAM

MR.P
 
Kwa uzoefu wako natumai kazi utapata mkuu, cheki na taasisi za serikali kwani watu wenye uzoefu kama wako ndio wanaohitajika.
 
Nenda kaulizie ubalozi wa America niliona tangazo juzi kwenye gazeti wana nafasi 2 za udereva.
 
Nenda ubalozi wa marekani pale getini wanamaform ya ajira ya udereva ,ila wale hawapendi madoido ni kazi tu!
 
Wadau nashukuru sana kwa ushauri wenu, na seems mmependa sana title yangu aka madoido,,,wacha ni hustle ntawapa report,,,thanks

with lots of love to jf and you all
 
Madoido yanaweza yakawa yanakuponza. Nenda Kilimanjaro Express peleka CV yako wanaweza wakakushort list mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom