Hapo sasaMbona umri mdogo alafu anaonekana amezeeka sana.....!!?
kumbe kuchora hujui maana yakenimekuelewa kwa maana ya kwamba kama hajawahi kuchora hajakutana na shubiri za barabarani, lkini nikikuuliza unaweza kupewa ufanyakazi bora kama una figisu?
Na ndio maana nyani mzee anapigwa mishare kirahisi kwa uchovu wa kukwepa mishare miaka mingiHadi umri huu amekwepa mishale mingi sana kama nyani mzee