Marco shija
Member
- Sep 20, 2015
- 64
- 36
Yaliyonikuta mie jaman sina ya kusemea, napenda niwajulishe na rafk zangu mtambue hasa nyie mtakaokuja kufanya kazi iringa mjini.
Ni miezi takribani 7 hivi tangu nimepata kazi kwenye taasisi moja binafsi hapa mjini iringa, tangu nianze kazi nimekuwa nipo busy Sana na kazi zangu ili kuiwezesha taasisi hii niliyonayo iweze kupata faida kutokana na Mimi.
Mara nyingi nimekuwa siyo mtu wa kukaa Sana nyumban, nakaa sana ikiwa na weekend na siku za sikukuu, nimekuwa nikitumia ndugu zetu hawa wa pkpk kunisaidia kuniletea mahitaji yangu madogo madogo hasa mahitaji ya ndan kama nyama, Nyanya, chipsi na vingine ambavyo havihitaji gharama Sana.
Nimekuwa nikimtumia dereva bodaboda mmoja ajulikanae kwa jina la Rasi kuniletea nyama, hivi majuzi nilimtuma nyama kilo 1 aniletee na kweli aliniletea baada ya kama Dak 30 hivi, lakn kukawa na mahitaji mengne ya nyanya nikampigia simu hakupokea Kama Mara 3, ikanbd nimpigie dereva bodaboda mwingine akasema yupo karibu na mabucha ila Rasi hilo eneo hayupo, nikamuuliza ina maana nyama amenunulia wapi? Mwenzake akanijb ngoja afike home kwangu atanieleza, kweli huyu mwingine akaleta Nyanya zangu, Limao na viungo vingne, alipofika nikamuuliza kuna nn kwani. Akaniambia kaka uwe mtulivu Sana, akaniambia RASI HUYU ANAAMIKA KWA KUPELEKEA WATU NYAMA ZA MBWA Kwa kweli nilianguka nikijifikiria takribani miezi 6-7 namtuma yeye aniletee nyama kwa hiyo miezi yote hiyo nakula MBWA? Nimeumia na niliumia Sana, haikupita Dak 5 Rasi akaleta nyama zangu kiukweli sikuzipokea nikamwambia nyama nyingne imeletwa baada ya kutokupokea cm yake, nikamwambia Basi ila pesa nikampatia. Mbaya Zaid Kuna nyumba jiran ya police mmoja nae vile vile wanamtumia maana wao ndiyo walinielekeza, najiuliza na huyu kamanda nae anakula nyama ya MBWA, je kesi nikipeleka hapo kituoni watanisikiliza? Kiafya nipo salama sina tatzo japo sijapima. Nawashauri ndugu zangu hawa dereva pkpk siyo wa kuamin sana. Mie nimeumia Sana.
Jaman nisaidieni nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app