Dereva boda boda makini anapatikana hapa

Dereva boda boda makini anapatikana hapa

Joined
Nov 10, 2013
Posts
23
Reaction score
3
Khabari waanajukwaa, heshima kwenu, mimi ni dereva wa pikipiki, pia nina fahamu vitu vingi katika ufundi pikipiki. Najitokeza kwenu wanajukwaa, kwa yeyote atakayekuwa tayari kuingia mkataba wa kuendesha bodaboda, nifanye kazi.

Natanguliza shukurani mawasiliano 0769056444.
 
leseni ipo maana nyie mnaendesha pikipiki bila leseni
 
Back
Top Bottom