Dereva binafsi (private driver)

Dereva binafsi (private driver)

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
38
Reaction score
17
Habarini Wana jamii forum.

Kwa majina naitwa JOSHUA E JAMES, Mimi ni Dereva kwa mda mrefu Sasa nikibezi kwenye upande wa gari ndogo za watu. Nimekua nikifanya KAZI kwenye office mbalimbali kama Dereva wa office kwa Ajira ya kuendesha ma Boss, pia nimekua nikiwaendesha watu Binafsi/ Dereva wa familia, lakini nimekua nikitumika kama dereva wa MDA mfupi ( yadi Kazi kwa masaa), nanimefanya Kazi ya kama transporter( msafulisha magari) kwenda mikoa mbali mbali.

Ujuzi
1: ninaujuzi mzuri wakuendesha chombo Cha moto.

2: Kutambua matatizo ya gari pamoja nakufanya mategenezo madogo madogo.

3: Ufataji wa Sheria za barabarani.

4: Matumizi ya rugha (kingereza na kiswahili).

Pia, kutokana na Elim nje ya fani ya udereva, naweza kufanya mambo mengine ya kiofisi yanapo HITAJIKA.

Nimaombi yangu kwenu, Kwamtu yeyote/taasisi/familia, Yenye uhitaji wa dereva nipo teali kufanya Kazi kwa makubaliano tutakayo Kubaliana.

Mawasiliano yangu.
Phone: 0627776134
Email: jamesjoshuaem@gmail.com

🙏
 
kuna kazi nyingi sana ajira portal www
ajira.go.tz au portal.ajira.go.tz jiunge na ujitahidi kuomba.
 
kuna kazi nyingi sana ajira portal www
ajira.go.tz au portal.ajira.go.tz jiunge na ujitahidi kuomba.
Kweli kabisa Irenga hua naziona na serikali wanajitahidi sana, ila Bado Kuna coz inabidi nizisime zaidi niwe na qualifications yakuomba kupitia Ajira portal.
 
Kweli kabisa Irenga hua naziona na serikali wanajitahidi sana, ila Bado Kuna coz inabidi nizisime zaidi niwe na qualifications yakuomba kupitia Ajira portal.
Kuna zingine zinahitaji basic driving course kama hawa Halmashauri ya Bunda
 
Inamaana ukiwa na B,D unaweza pata Ajira kwenye mfumo wa serikali?
Screenshot_20250905-172932.jpg
Screenshot_20250905-173010.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom