Tatizo sigala
Member
- Jan 27, 2013
- 45
- 5
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina girlfriend wang anaitwa janet ambaye ni nesi nampenda sana ila kuna dereva wa bac anatembea nae na kumpa kila kitu, chakula malazi na mavaz, ila kila nkimuuliza anasema cyo kwel yeye ananipenda mimi tena kwa dhat kabisa, wakat jion bac linavoenda madibila anampikia chakula na kumpelekea stend mafinga, wadau nifanyaje kwan naumia sana kwa kuwa nampenda sana janet.