Dereva aliyemgonga Trafiki eneo la Bamaga afikishwa mahakamani

Dec 19, 2012
77
13
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar es Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Kisutu
 
Saafi kwa kuchukua sometimes mawazo ya watu na kuyaweka katika mipango,sAaf mzee wa Blog,hakikisha unakuwa story,hbr ambazo mostly hazizagai ktk. Blogs zingne

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
...........Loooooooooh nimeskitika sana kuona picha ya marehemu... inatisha sana... R. I. P afande Nko
 
Hiyo ni Traffic Offence sio Criminal mzee ukitaka maelezo zaidi google difference between them
Nilikuwepo eneo la tukio siku hiyo, nashangaa polisi kumpeleka mahakani kwa traffic offense, nadhani hata uelewa wao nao ni mdogo, mimi si mwana sheria lakini mtazamo wangu ni kuwa alitumia gari kwa makusudi kumwua yule polisi, hakuwa kwenye msafara, wenzake walioingilia msafara walisimamishwa na wakatii, yeye hakutii amri ya polisi akatanua pembeni na kumwua yule polisi... na sasa eti yupo nje kwa dhamana. Polisi wametendee haki polisi mwenzao aliyetangulia mbele ya haki
 
Inashangaza kama kuingilia msafara wa mkuu wa nchi ni kosa la kawaida la matumizi ya barabara.....
 
Vyema ww sio mwanasheria..na mahakama haiendeshwi kwa hisia zako..tukizungumzia swala zima la murder linavigezo vyake ilikumtuhumu mtu kaua moja wapo na yamuimu zaidi ni malice aforethought yaani a deliberate and premeditated killing of another motivated by ill will.sasa ww kama shaidi unaweza kuestablish ill will ya huyo dereva?ama negligence?na upande wa polisi sio wapumbavu wanajua wakiweka kosa kubwa zaidi litapigwa chini na ma public prosecutors mwishoni kuaibika mahakamani na kushindwa kesi..kwa hyo ndugu yangu relax law its a beautiful thing.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Trafic offence hapo ni kukataa kutii amri ya kusimama baada ya kusimamishwa na polisi. Na kuendesha gari kwa uzembe na kuua.
Kuingilia msafara sidhani kama ni trafic offence. Nilishawahi kuingilia msafara japo sikugonga mtu. Nilipelekwa kituoni na kupewa elimu tu. Ningepaparika kutaka kutoa rushwa nadhani wale trafic wangefanya sherehe. Waliponikamata niliwaambia twende kituoni. Niliishia kuapologise na kupewa kitabu cha usalama barabarani. System huwa tunaiharibu wenyewe.
Inashangaza kama kuingilia msafara wa mkuu wa nchi ni kosa la kawaida la matumizi ya barabara.....
 
Trafic offence hapo ni kukataa kutii amri ya kusimama baada ya kusimamishwa na polisi. Na kuendesha gari kwa uzembe na kuua.
Kuingilia msafara sidhani kama ni trafic offence. Nilishawahi kuingilia msafara japo sikugonga mtu. Nilipelekwa kituoni na kupewa elimu tu. Ningepaparika kutaka kutoa rushwa nadhani wale trafic wangefanya sherehe. Waliponikamata niliwaambia twende kituoni. Niliishia kuapologise na kupewa kitabu cha usalama barabarani. System huwa tunaiharibu wenyewe.

Yap....uko sahihi, ila mpaka utakapoonekana hukua na nia ya kuhatarisha usalama wa msafara.
 
Back
Top Bottom