Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Sijawai kuielewa ladha ya cocaSijawahi kuielewa ladha ya Pepsi
@BigBro jaribu leo. Utajiuliza maswali kama ni formula imeboreshwa au Mondi.Sijawahi kuielewa ladha ya Pepsi
Nishajaribu lakini inanishinda, nafikiri nipo adicted na Coca, maana nikiamka na hangover nikipiga moja tu nakuwa sawa@BigBro jaribu leo. Utajiuliza maswali kama ni formula imeboreshwa au Mondi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mimi sijawahi kuelewa, hivi wanaokunywa soda wanapata nini?Sijawai kuielewa ladha ya coca
Mi nakunywa vyote sijawai Acha kituMimi sijawahi kuelewa, hivi wanaokunywa soda wanapata nini?
Mimi siyo mlevi ila huwa naona afadhali ya wanaokunywa bia maana inatokana na nafaka.
Nyie ndio wale mkifika sehemu mnaanza na coca,hadi unaishia super komandoMi nakunywa vyote sijawai Acha kitu
Na saba juuSoda n mirinda nyeusi tu
Mimi pia huwa kwangu ina taste kama ina panadol ndan yakeSijawahi kuielewa ladha ya Pepsi
Mirinda nyeuc kwa chips kuku n htrNa saba juu
🤣🤣🤣 au mishkaki.Mirinda nyeuc kwa chips kuku n htr
[emoji16][emoji16][emoji16]Mi nakunywa vyote sijawai Acha kitu
Hujui soda zinatokana na nini?Mimi sijawahi kuelewa, hivi wanaokunywa soda wanapata nini?
Mimi siyo mlevi ila huwa naona afadhali ya wanaokunywa bia maana inatokana na nafaka.
Kitaalam soda bora ni Sprite.Soda n mirinda nyeusi tu
Au kiwinguNyie ndio wale mkifika sehemu mnaanza na coca,hadi unaishia super komando
Hiyo ndiyo flagship brand ya kampuni.Mimi pia huwa kwangu ina taste kama ina panadol ndan yake
Inapendwa na waliopunguziwa damu na malaria.Mirinda nyeuc kwa chips kuku n htr