Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,210
Unasema kuna siku? Ina maana haya yaliyoua karibu watu kumi Arusha hayatoshi? Kuna haja ya kujiuliza kwanini wawe wa mlengo mmoja hao wanaotaka uraia? Na hawa watu pamoja na kupewa uraia na serikali bado walikuwa wameshatumia hadi mbinu zao za vichochoroni kuhakikisha wanaupata huo uraia incase wangekosa serikalini. Ni nini hasa msukumo wao?Mi nakwambia kuna siku tutalipuliwa kwa mabomu we acha tu