Deprivation of Tanzania Citizenship

Deprivation of Tanzania Citizenship

Status
Not open for further replies.

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF HOME AFFAIRS
IMMIGRATION DEPARTMENT


PUBLIC NOTICE


DEPRIVATION OF TANZANIA CITIZENSHIP


The Minister for Home Affairs in the exercise of powers vested upon him under Section
15(1) of the Immigration Act No. 7 of 1995 and by the Tanzania Citizenship Order,
2012 published in the Gazette of the United Republic of Tanzania No. 27 Vol.93 dated
06 th July 2012, has with effect from 06th July 2012 deprived Tanzania citizenship to 102
persons who were granted Tanzania Citizenship by naturalization for having obtained
the same by means of fraud and false representation. All the affected persons have to
revert to their original citizenship and shall continue to live in the country as aliens and
in accordance to the Immigration Act No. 7 of 1995 and the Refugee Act. of 1998.
The names of the affected persons, Certificate numbers and dates of issue are as listed
hereunder:-
No. NAME CERTIFICATE OF NATURALIZATION No. DATE OF ISSUE
1 Halima Ali Ibrahim 0002543 17/03/2010
2 Sharif Abdallah Man Skarif 0002547 17/03/2010
3 Abdi Omari Ali 0002548 17/03/2010
4 Mumin Fidow Berre 0002544 17/03/2010
5 Hassan Mohamed Arae Mohamed 0002542 17/03/2010
6 Issa Shehe Hassan 0002546 17/03/20107 Fatuma Hassan Osman 0002545 17/03/2010
8 Zahara Ali Garasi 0002617 24/03/2010
9 Abdikafi Mohamed Barre 0002620 24/03/2010
10 Murwo Mohamed Igal 0002621 24/03/2010
11 Adiwali Ahmed Aden 0002618 24/03/2010
12 Awil Said Aden 0002619 24/03/2010
13 Abdullahi Ahmedi Aden 0002527 17/03/2010
14 Hassani Ahmed Mahamood 0002528 17/03/2010
15 Abdulrahaman Sharif Mahamud 0002706 25/03/2010
16 Abdulkadir Othmani Muhamed 0002512 15/03/2010
17 Abdallah Ali Mahamud 0002515 15/03/2010
18 Ahmed Hassani Mohamed 0002517 16/03/2010
19 Mohamed Nuh Mohamed 0002516 15/03/2010
20 Mohamed Mahamud Hassan 0002520 16/03/2010
21 Bashir Hrsi Wa- Sama 002581 19/03/2010
22 Abdulkadir Mohamed Hussein 0002580 19/03/2010
23 Hawa Daudi Hassani 0002575 19/03/2010
24 Abdulkadir Ibrahim Mohamed 0002576 17/03/2010
25 Mohamed Abdulle Afah 0002577 19/03/2010
26 Hawa Abdallah Ally 0002584 19/03/2010
27 Mariam Abdul Wahid 0002535 17/03/2010
28 Ahmed Ally Osman 0002534 17/03/2010
29 Hawa Hassani Ali 0002504 15/03/2010
30 Karama Murio Awes 0002506 15/03/2010
31 Mohamed Abdi Mohamed 0002243 15/03/2010
32 Fatuma Awes Nuru 0002503 15/03/2010
33 Mohamed Ali Mudey 0002567 19/03/2010
34 Muhidini Mukarama Abdulhaman 0002571 19/03/2010
35 Said Magano Mkokola 0002591 19/03/2010
36 Elmi Mohamoud Abukal 0002586 19/03/2010
37 Abdi Hussein Dirishe 0002590 19/03/2010
38 Auwill Said Adhani 0002589 19/03/2010
39 Hadija Sharifu Kulow 0002593 19/03/2010
40 Amina Yusuf Worsame 0002594 19/03/2010
41 Sahra Ahmed Muhidini 0002561 19/03/2010
42 Hassan Ali Ahmed 0002563 19/03/2010
43 Mohamedi Abdi Hassani 0002562 19/03/2010
44 Khadra Hassan Osman 0002555 17/03/2010
45 Aden Abukari Mohamed 0002557 17/03/2010
46 Hidaya Noor Rage 00025553 17/03/2010
47 Abdullah Mahdi Hussein 0002170 20/03/200948 Zaina Hedar Abubakar 0002171 20/03/2009
49 Omari Abdi Osman 0002162 20/03/2009
50 Abdullah Mohamed Mohamed 0002163 20/03/2009
51 Hassani Msurwa Mberwa 0002164 20/03/2009
52 Mohamedi Abdi Mahamud 0002157 20/03/2009
53 Said Mohamed Ally 0002156 20/03/2009
54 Mohamed Ali Ahmed 0002155 19/03/2009
55 Abdukadir Abdulah Yusuf 0002160 20/03/2009
56 Abbas Mohamed Abdi 0002187 25/03/2009
57 Mohamed Osman Maalim 0002188 25/03/2009
58 Ibrahim Jama Salah 0002189 25/03/2009
59 Abba Ahmed Foqi Muhidin 0002190 25/03/2009
60 Sultan Ahmed Faqi 0002191 25/03/2009
61 Mustaf Abdullah Mohamed 0002243 29/05/2009
62 Fatuma Abdi Rahman Shire yusuf 0002251 29/05/2009
63 Omar Dalmor Ali 0002250 29/05/2009
64 Laila Heda Abubakari 0002249 29/05/2009
65 Mahamud Farah Nour 0002248 29/05/2009
66 Mohamed Mahad Mohamud 0002242 29/05/2009
67 Mubarak Hassani Barak 0002244 29/05/2009
68 Hidaya Omari Haider 0002195 26/05/2009
69 Mahamud Murjan Ally 0002198 26/05/2009
70 Zainabu Hamedi Athmani 0002255 29/05/2009
71 Abdulkadir Mohamed Jamale 0001085 30/05/2008
72 Habiba Abdi Hassani 0001084 30/05/2008
73 Bashir yusuf Moliam 0001081 30/05/2008
74 Luul Mohamed Adam 0001083 30/05/2008
75 Khodra Mohamud Hersi 0001080 30/05/2008
76 Abdi Hersi Siyad 0001078 30/05/2008
77 Habiba Ibrahim Ali 0001077 30/05/2008
78 Muhyaadini Ahmed Afrah 0001079 30/05/2008
79 Hamadi Mhina Abdallah 0001844 09/06/2008
80 Mariam Abdallah Hamadi 0001841 09/06/2008
81 Ahmed Mohamed Artah Ismael 0001645 13/12/2007
82 Athumani Salimu Mofi 0001827 06/06/2008
83 Fatuma Adamu Shure 0002174 25/03/2009
84 Mohamed Yusufu Shire 0002181 25/03/2009
85 Mohamed Mohamed Hussein 0002181 25/03/2009
86 Hadija Abdulah Gurha 0002179 25/03/2009
87 Aaliya Ahmed Fao 0002175 25/03/2009
88 Njema Mukaram Abdulahr 0002178 25/03/2009
89 Abduliwahid Mohamed Hussein 0002177 25/03/2009
90 Ahmed Faqi Nurudin 0002180 25/03/2009
91 Amina Jelani Athuman 0002169 20/03/2009
92 Isha Bakari Hamadi 0002166 20/03/2009
93 Jelani Hamadi Hussein 0002167 20/03/2009
94 Hawa Dadir Shawalo 0002154 19/03/2009
95 Arobai Budo Chureko 0001935 11/06/2008
96 Jabir Somo Lugendo 0001846 09/06/2008
97 Hanadu Ngango Mgolo 0001646 13/12/2007
98 Abdurazak Jama Warsame 0001669 13/12/2007
99 Abdulkadir Athuman Shaba 0001097 04/06/2008
100 Hawa Ogle Hassani 0001640 12/12/2007
101 Hamadi Ally Marsh Mohamed 0001774 27/12/2007
102 Hussein Sharif Abdi 0001427 15/06/2007

ISSUED BY:
THE PRINCIPAL COMMISSIONER OF IMMIGRATION SERVICES

http://immigration.go.tz/downloads/Deprivation of TC.pdf
 
Mkuu MaxShimba mbona hawa jamaa wa aina hii ya majina ndio wanataka sana uraia wa hii nchi? Au ndio mbinu yao ya kuongezeka wakati wa sensa?

Mkuu maono yako yanafumbua na kuonyesha mengi. Cha ajabu wote ni wauminu wazuri wa imani ya amani. Hapo panatia shaka.

Je, Serikali ya Tanzania inaliona hili?
 
jamani tuache masihara ina maana wote ni kina shabani na kina mohamed?immagrations umizeni vichwa wasije kuwa ma-eli shababu,au boko haramu,or vijana wa shehe o.b.ladeni
 
Daaaaaahhhhh!!!!!!!!!!!!

Hivi hawa jamaa huko kwao wanafukuzwa?

Na kwanini majina yawe ya wale wa kule mahala?

Nina wasiwasi na hawa watu!!!!!!!!!!!!!
 
Inatisha,walitaka kuigeuza Tanzania kama NOMADI street ya Nairobi,awa watu fedha za uharamia wanaonga maafisa wetu na kupata uraia.Hongera serikali yetu tukufu kwa uhamuzi huu.
 
Daaaaaahhhhh!!!!!!!!!!!!

Hivi hawa jamaa huko kwao wanafukuzwa?

Na kwanini majina yawe ya wale wa kule mahala?

Nina wasiwasi na hawa watu!!!!!!!!!!!!!

Naam Mkuu. Nchi wanayo ikimbilia wanadai eti ina mfumo Kristo. Yaani wame present fake papers ili wawe wa TZ. In whose name did they do that?

Ni nani katika Uhamiaji alipitisha hayo Makaratasi Feki?
 
Licha ya mapungufu makubwa ya kiutendaji katika idara yetu ya uhamiaji,sinabudi kuwapongeza na kuwashukuru kwa kuwatendea haki waliyo stahili hawa jamaa..kuwapa uraia wa taifa letu tukufu ni sawa na kukaribisha insecurity na money laundering kwa mikono miwili.
 
Daaaaaahhhhh!!!!!!!!!!!!

Hivi hawa jamaa huko kwao wanafukuzwa?

Na kwanini majina yawe ya wale wa kule mahala?

Nina wasiwasi na hawa watu!!!!!!!!!!!!!

Wale wanyarwanda wakristo milioni 4 waloingia Tanzania kinyume cha sheria sikuona umefungua hilo domo lako na kusema"haaaaa kwao wamefukuzwa!????"
Mbona nyie mna kiherehere sana mkiona mfumo kristo in action!
Nyie toeni povu weee! Lkn leo tanzania waislamu is almost 68% na juu ya kampeni zenu za mfumo kristo!
Na sio huko bongo tu!
Europe na USA yanatokea hayo hayo!
Halafu nyie mnadhani hii ni coincidence! !

Prophecy is fulfilled!

Hold your rosaries now!
There is more surprises to come!
 
Chonde chonde wasituletee mafujo yao huku!!!!!!!!!!!!

We kaa na chonde zako!

The brother's are here to stay!

Unaruhusiwa kufunganya mizigo uhamie kwenye lile taifa lenu teule!

Kule wanakotafunana wanamme!

Hapa na kuliko baki kote lzm waungwana wachukue nchi!

Nyie imbeni tu hizo kwaya na kucheza mayenu!
Si tunafanya kweli! Na sisi tukizaa basi ni watoto watano kwenda mbele! Sio nyie kila kitu kuiga wazungu, eti mpaka kwenda choo mnaiga wazungu!
Before you know it! A muslim brother is in front of you!

Haleluyah!
 
Wale wanyarwanda wakristo milioni 4 waloingia Tanzania kinyume cha sheria sikuona umefungua hilo domo lako na kusema"haaaaa kwao wamefukuzwa!????"
Mbona nyie mna kiherehere sana mkiona mfumo kristo in action!
Nyie toeni povu weee! Lkn leo tanzania waislamu is almost 68% na juu ya kampeni zenu za mfumo kristo!
Na sio huko bongo tu!
Europe na USA yanatokea hayo hayo!
Halafu nyie mnadhani hii ni coincidence! !

Prophecy is fulfilled!

Hold your rosaries now!
There is more surprises to come!

Hivi hizi statistics huwa zinafanyiwa utafiti na nani?
 
Jaribu kupekenyua kwenye wizara inayo husika na sensa! Halafu tumia akili mungu aliyokupa utapata majibu safi kabisa!

Kwa bahati mbaya sina access na data zilizopo wizarani, utakuwa umenisaidia sana ukinipa source ya hizo takwimu ulizotoa ili na mimi nikazitafute.
 
Mkuu MaxShimba mbona hawa jamaa wa aina hii ya majina ndio wanataka sana uraia wa hii nchi? Au ndio mbinu yao ya kuongezeka wakati wa sensa?

Mtazamo wangu,

Kwa sababu moja au nyingine, huko kwao huwa hawana utaratibu/desturi wa kuelewana. Kwa hivyo siku zote, mara zote huwa wanakimbizana..
 
Kwa bahati mbaya sina access na data zilizopo wizarani, utakuwa umenisaidia sana ukinipa source ya hizo takwimu ulizotoa ili na mimi nikazitafute.

Kuna kitu kinaitwa "uhuru wa kujua habari"
Unaweza kuutumia uhuru huo kupata data zote zilizoko serikalini zinazohusu wananchi. Ambazo sio nyeti!
Kama we ni mparokia unaweza ukamuuliza mchungaji wako!
Habari hizi kwao ni muhimu sana kuzijua!
Huwa zinawarusha roho!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom