Balozi wa Dodoma
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 477
- 179
alright, kwa mfano, in our country, mtu aliyesomea Port Operations, atawekwa kitengo gani pale Immigration?
jamani ni lini watu wataitwa kwenye usaili... na taarifa za kuitwa zinawafikiaje watu?
Lilianza mwezi wa 12, kwa miaka 2 kule kiombo kisilili.
ugoro upo, mkali sana, shs 500/= tu!
Excel, unanifanyaga nicheke sana aisee haya bhana.
hahaaa!! kwanini mkuu? unajua jamaa kaongea kitu impossible!
depo miaka 2? si diploma ya ualimu hiyo? loh!
Mbona mna haraka wadau vuteni subira majina yakitoka tutajulishana kwa muda huu kila mtu aombe dua zake jina lake liwe shortlisted
kwa sababu kozi ya Port Operation ina relate kabisa na masuala ya port and marine kuna posibility kubwa sana ya kum place uyo mtu kufanya kazi kitengo cha marine immigration yaani uhamiaji wanao fanya shughuli zao ndani ya mipaka iliyopo ndani ya maji..
Kwa mfano mipaka ya nchi na nchi inayotenganisha nchi moja na nyingine kupitia ziwa,bahari n.k
wapo maafisa uhamiaji wa namna hii wengi sana kule nyasa,na mpakani mwa tz na ug kupitia kagera.
Pia wapo mtwara wengi tuu bahari ya hindi road to mozambique n.k
Kwal wale watakaochaguliwa kwenda uhamiaji, depo mwaka huu litakuwa miezi sita na sio CCP itakuwa sehemu nyingine.
Ndio hio taarifa niliyonayo nikasema niwajuze kidogo
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wadau kweli kwa tusiokuwa na pesa za kuhonga tutasubiri sana Ajira, Kuna mdau amenitonya kuwa nafasi za uhamiaji zinauzwa na watu wanatoa kati ya laki tatu, nne na tano. Na wanasema mkono mtupu haulambwi. swali je kwa tusiokuwa na watu tusiowajua tutapata kazi kweli?