Kufungua mashitaka kwa watakaokutwa na makosa yanayohusiana na uhamiaji , kutunza mafile na majalada mbalimbali za uhamiaji , kusindikiza watuhumiwa wa uhamiaji mahakamani. , kusindikiza wahamiaji haramu wanaporudishwa makwao, kuendesha oparesheni za kiulinzi maeneo yanayoweza kutumika kuingilia wahamiaji haramu, kuendesha ukaguzi kwenye nyumba za kulala wageni , mahotelini na kwenye vituo vikubwa vya kibiashara ambapo wahamiaji haramu wanaweza kuwepo KWA NIJUAVYO NDO KAZI ZA KONSTEBO WA UHAMIAJI