Depo la Uhamiaji

sehemu nyingine kwa wote au kwa baadhi tu na hiyo sehemu ni wapi ?na ww ni nani mpaka unatoa taarifa hizi ?
source please
 
na kuitwa kwenye interview itakuwa lini.
 
Kwal wale watakaochaguliwa kwenda uhamiaji, depo mwaka huu litakuwa miezi sita na sio CCP itakuwa sehemu nyingine.

Ndio hio taarifa niliyonayo nikasema niwajuze kidogo

ahsante sana mkuu.
 
Kwal wale watakaochaguliwa kwenda uhamiaji, depo mwaka huu litakuwa miezi sita na sio CCP itakuwa sehemu nyingine.

Ndio hio taarifa niliyonayo nikasema niwajuze kidogo

Mwakani 2015 kuelekea uchaguzi mkuu
 
Wewe ndio hujui uhamiaji ni idara iliyoko katika wizara ya mambo ya ndani na haina chuo cha kufundishia vyuo vyake vinapatikana katika vyuo vifuatavyo
1.chuo cha ccp
hapa wanapiga wote kozi ya ujumla isipokuwa vipindi vya darasani vinatofautiana tu ila vipindi vyote vya mazoezi ni vile vile mud wa mafunzo ni miezi sita na itategemea maamuzi ya mkuu wa chuo anaweza kuwaongezea miezi ya mafunzo kutegemeana na mnavyoelewa
2.chuo cha magereza
hapa nako ni mpangilio uleule tu mazoezi mwanzo mwisho ila masomo ndio yanatofautiana
wizara ndio yenye uwezo wa kupanga kuwa ni wapi mafunzo yanafanyikia na pindi mafunzo yanaisha kwa vyuo vyote askari wa uhamiaji huwa wanabaki kwa ajili ya kumalizia topic kama hamjamaliza kwa hiyo mwenye kujua kuwa yanafanyikia wapi ni wizara kama wewe ndio waziri thibitisha ili watu wajiandae na siyo kuja na maneno ya vijiweni
pole kwa wewe ambae hujui
 
bora ccp kule kiwira noma ila kuanzia miaka kama minne iliyopita uhamiaji depo lao ni CCP
 
wakuu, kwani Konstebo wa Uhamiaji ni nani hasa? na kazi zake ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…