The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 217
Hakuna depo la kuogopa dogo! depo unaenda na pass ya kunyooshea nguo? uko ni urembo urembo tu na kufukuzana bila sababu
Kama we mtu wa mademu sana jiandae Kupiga nyeto ..
Madem...hasa kuruta wenzako usijiushishe....maana km kuna afande nae kampenda utakokona mpk mwisho, mazoezi sio magumu, mchakamchaka sala ya asubuhi saa10 bigula hupigwa lenye tone ""Hukuja kulala ! hukuja kulala:"", kama huna ujuzi unafikiri unaweza tumika basi ni shushi mbaya..utakwepa fatiki zisizo na maana na kutesana...ujuzi kama "mwanamichezo soka, handball, & volleyball etc., ufundi km unao umeme, magari....unaweza pata kitengo ukiwa depo....lakini pia kupunguza stress kwa masuala mateso hapo na mawazo ficha makucha yako kwa kipindi chote kama kujiunga na vikundi vya dini ( kwa dhehebu lako) kuna kusali, kuimba, hapo inasaidia kupata marafiki hii mara nying watu wanafanya hiv wapite hapoo duh wakisha Passout wako kazini utawakimbia pombe madem zinaanza.... but kumbuka " Kumaliza ukuruta kweli ni kaaazi kubwa hata ndege wa angani watakushigilia" duh huu wimbo uimbwa sana kule......!!!! some Hints but ni uzoefu wangu wa depo ya zamani sana sana......hapo kamishna harun Mahundi....sijui sasa hivi lakin zingatia hayo dogo..sisi tulitupa gwanda chini kitambo sana...
Nilikuwa napiga soka na volleyball na vilinisaidia na matifu ya usawa wa kambi/platoon na mifatiki hasa ile ya jioni baada ya menu.
Mkuu depo la namba B nini? Mimi namba F zama zile za Mzee Masatu (sasa ni marehemu) tulikwenda dsm na butiama kumzika nyerere.
The Listener
Ex dETECTIVE
ha ha haha hata mimi handball ndio ilinitoa nilkuwa nasafiri kimichezo nikiwa depo.....uganda , kenya etc...
Number a -prison
ex-sgt.....!!
Wadau mlio piga interview tupen infor bhas harakat zinakwendaje huko? Mbona kimya wakat mlikua mnakesha kuulzia zitatoka lini.
Matokeo ya usaili tar8-10, tuliza Munkari
RAS una rasta au?[/QUOTE
Rasta ni imani sio nywele kiongozi coz 25% ya rastafari hawana rasta.
RAS una rasta au?[/QUOTE
Rasta ni imani sio nywele kiongozi coz 25% ya rastafari hawana rasta.
sure kiongozi
kuna binamu yangu anapenda kujiunga na jeshi hili mwaka kesho atakapo maliza masomo yake ila atakua na umri wa miaka 26 kweli atachukuliwa ????
Hahhahahahhahahaha....nipo live makamu mwenyekiti wa chumvini room...
vp ukipunguza miaka ktk cheti cha kuzaliwa visioane na academi