Mimi sio askari ila nipo jirani na CCP mkuu hapo jiandae kupiga tarumbeta kwa sana kuamka sakumi ni kawaida na kushinda juani mkipiga tarumbeta na kuimba
Mimi sio askari ila nipo jirani na CCP mkuu hapo jiandae kupiga tarumbeta kwa sana kuamka sakumi ni kawaida na kushinda juani mkipiga tarumbeta na kuimba
Mkuu..Ejay...ina maana yani kosa lolote unafukuzwa..sass hiko chuo atabaki mtu kweli mna nijuavyo ni kuwa hakuna binadamu asiye kosea..labda utuambie makosa specific ambayo mtu akikutwa nayo yatapelekewa kuondolewa mafunzoni ni sio kosa lolote..usiwe too general kuwa specific kuwasaidia watu..then wape techniques za ku win mafunzoni ili wafanikiwe...mbona huwa tunawapa wadogo zetu mbinu za kusoma mashuleni ili watoboe mitihani..so aje mtu atoe orientation theoritically aeleweke na sio majibu ya mkato