Anasema ana ny#@ anataka kuto*%£😂😂😂huyu jamaa alivurugaa maana alikuwa akianza kuporomosha matusi utamkimbiaaa
Doguma kilikuwa ni kitabu chake kitalatifualianzishaga dini yake inaitwa DOGUMA 😆😆
kuna kile song lake lake anamfukuA demu wale video kali sana
Wapi yuko tumpeleke akatibiwe?Huyu jamaa alikuwa kichaa muda sana
Yaani anaokota makopo
alianzishaga dini yake inaitwa DOGUMA![]()
kuna kile song lake lake anamfukuA demu wale video kali sana

song linaitwa Go a way🤣😂🤣 alitosha sana mulesong linaitwa Go a way
aaaah dah hv dininyake ilikua inaitwajeDoguma kilikuwa ni kitabu chake kitalatifu
Nakumbuka, alizingua kichiziAlisha tusimulia maisha yake ya ghetto akiwa anaishi Tanga
Ulikuwa hucheki?Nili-subscribe Youtube yake huyu
Alikua serious knm, anafanya shoo hadi kwenye Bars.Ulikuwa hucheki?
Ana rap au ananengua nengua Tu?Alikua serious knm, anafanya shoo hadi kwenye Bars.
RAIS wetu ajaye mtarajiwa Mh.Roberts yupo ku replace GEPU lake.Alikua msanii mzuri na mtunzi mzuri mwenye kipaji cha uimbaji hasa vibao vyake kama goodbye, i am a soldier etc.
Hakika tumemmisi mwamba.