Deogratius Nalimi Kisandu uko wapi Teacher?

Deogratius Nalimi Kisandu uko wapi Teacher?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
1698019955543.png
Tumekumiss sana nduguzo. Hivi ukiwa Marekani ndio unaacha kabisa kutumia JF?
Msalimie sana shemeji yetu Malia Obama
 
Huyu jamaa Matatizo ya Afya ya Akili plus uchawi wa wasukuma vilimtoa mchezoni Mapema lakini the guy was too bright .

Kama mtu inatoka familia Masikini na ambazo sio educated you need to protect Afya ya Akili Sana na kuwa vizuri kiroho kwa jinsi jamaa alivyokuwa inaonekana walimtoa mchezoni .
 
Back
Top Bottom