Deogratius Nalimi Kisandu amepotelea wapi?

Lukataluko

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,345
1,572
Habarini za asubuhi wana jukwaa? natumai mu waxima wa afya, na wale wote wanaosumbuliwa na maradhi natamka uzima juu yao, kwa mamlakaya jina lipitalo majina yote, kwa jina la Yesu kristo wa razareth uwe mzima tangu sasa kuanzia unyayo wa mguu mpaka mpaka utosi wa kichwa, na mtu mmoja aseme aimeni.

Wandugu ni muda mrefu sasa mimi binafsi sijabahatika kuona bandiko lolote kutoka kwa ndugu yetu muheshimiwa sana Deogratius Nalimi mwana wa kisandu.

Toka akutane na yale maswahabu yake ya kuwekwa ndani baada ya kutuhumiwa kuandika ujumbe wa matusi kwenye mitandao ya kijamii sijawahi kumuona tena hapa jukwaani, tafadhari mtu mwenye update yeyote kuhusu huyu ndugu yetu naomba atupatie.

Natanguliza shukrani zangu zadhati kwenu, usiyekuwa na taarifa yeyote naomba upite kimyakimya.
 
Ukibahatika kukutana na Ben saanane muulize wapi alipo Deogratius Kisandu.
 
wameshaupdate dish na frequency 3654 R, (C band), 5632 3/4 polarization horizontal

kwa hiyo sahivi sio chengachenga tena.......
 
mimi deogratius kisandu sijataka kumpindua raisi magufuli kama habari zinavyoenea kwenye mitandao.

mimi deogratius nalimi kisandu natarajia kumuoa mtoto wa obama.

images.png
images.jpg

huyuu jamaa alikuwa akianzisha thread lazima ucheke.
 
Habarini za asubuhi wana jukwaa? natumai mu waxima wa afya, na wale wote wanaosumbuliwa na maradhi natamka uzima juu yao, kwa mamlakaya jina lipitalo majina yote, kwa jina la Yesu kristo wa razareth uwe mzima tangu sasa kuanzia unyayo wa mguu mpaka mpaka utosi wa kichwa, na mtu mmoja aseme aimeni..

Mkuu wewe umepewa mamlaka ya kusema maneno ya Kimungu na kuponya watu?
 
Mkuu wewe umepewa mamlaka ya kusema maneno ya Kimungu na kuponya watu?
Ndiyo mkuu hata wewe ukimwamini Yesu kwa moyo wote namkukiri kwa kinywa chako ya kuwa alizaliwa ktk mwili,alisurubiwa,akafa na kufufuka utapewa mamraka hii, luka 10:19 Yesu anasema tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge ( nyoka ni nguvu zote za kichawi kipepo na kishetani) na nge ( nguvu ya dhambi) , wala hakuna kitu chochote kitakacho wa dhuru.

Vile vile ktk Marko 16 :17 biblia inasema Na ishara hizi zitafuatatana na hao wa aminio kwa jina langu ( Yesu) watatoa pepo, watasema kwa lugha mpya 18,watashika nyoka,hata wakinywa kitu cha kufisha hakita wadhuru kabisa,wataweka mikono yao juu ya wagonjwa nao watapata afya.

Nabii isaya alitabiri zamani akisema,isaya 54:17b inasema huu ndiyo urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana, kwahyo mkuu maraka ninayo na nimeiona ikitenda kazi for years now, si kwangu tuu ila na kwa watu wengi sana.
 
Habarini za asubuhi wana jukwaa? natumai mu waxima wa afya, na wale wote wanaosumbuliwa na maradhi natamka uzima juu yao, kwa mamlakaya jina lipitalo majina yote, kwa jina la Yesu kristo wa razareth uwe mzima tangu sasa kuanzia unyayo wa mguu mpaka mpaka utosi wa kichwa, na mtu mmoja aseme aimeni.

Wandugu ni muda mrefu sasa mimi binafsi sijabahatika kuona bandiko lolote kutoka kwa ndugu yetu muheshimiwa sana Deogratius Nalimi mwana wa kisandu.

Toka akutane na yale maswahabu yake ya kuwekwa ndani baada ya kutuhumiwa kuandika ujumbe wa matusi kwenye mitandao ya kijamii sijawahi kumuona tena hapa jukwaani, tafadhari mtu mwenye update yeyote kuhusu huyu ndugu yetu naomba atupatie.

Natanguliza shukrani zangu zadhati kwenu, usiyekuwa na taarifa yeyote nsomba upite kimyakimya.
Hii account mbona ni yake pia
 
hyu memba amepotea kitambo hajaonekana mtandaoni! yuko wapi mzee wa Mkolani Nyegezi?
mwenye taarifa zake atujuze
 
Back
Top Bottom