Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,648
- 7,570
Kwanini huu uzi waliupuuza mwanetu?
Ile bangi unavuta mkuu 🤣 achaMkuu, lazima nianzishe nyuzi kwa 🆔 zangu zote.
Natumai nitabahatusha tu, na 🆔 moja itakayoshinda itapata sifa.
Yeah jamaa katulia haajaweka sifaWewe sio mtabiri, wewe ni zaidi ya britanicca
Wamenipiga chenga hawa mafala 😂Ile bangi unavuta mkuu 🤣 acha
RSVP.Ngoja tusubiri na hii tuone kama tukiwa bado hai itakuwajeView attachment 3657665
Mzee Pancras bado yuko hai?Hii Uzunguni yetu bado mimi tuu sasa.
Nakumbuka Kilimanjaro Villa, Stockley, Jamboree, Kilimani Club.
Alikwisha fariki.Mzee Pancras bado yuko hai?
I wonder 😂😁😁Au wewe ndio Deogratius mwenyewe
One in a million ,Only target iliyonasa imetoka kwako kongole bwana deoKutokana na sintofahamu inayoendelea na kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Mh. Emmanuel NCHIMBI, duru zinaonyesha mwenye nafasi kubwa ya kuchukua kijiti basi ni kijana wetu Deogratius Ndejembi
Yuko kama Mpemba hivi, Je ni kweli?Kutokana na sintofahamu inayoendelea na kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Mh. Emmanuel NCHIMBI, duru zinaonyesha mwenye nafasi kubwa ya kuchukua kijiti basi ni kijana wetu Deogratius Ndejembi
Duh .Kutokana na sintofahamu inayoendelea na kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Mh. Emmanuel NCHIMBI, duru zinaonyesha mwenye nafasi kubwa ya kuchukua kijiti basi ni kijana wetu Deogratius Ndejembi
Yaani CCM wanatuambia ikitokea Samia anakufa akiwa raisi huyu jamaa ndio anakuwa raisi wa Tanzania, sivyo?Kutokana na sintofahamu inayoendelea na kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Mh. Emmanuel NCHIMBI, duru zinaonyesha mwenye nafasi kubwa ya kuchukua kijiti basi ni kijana wetu Deogratius Ndejembi