G glory to yhwh JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 1,020 Reaction score 1,421 May 22, 2016 #21 Dah mmenichekesha
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 May 22, 2016 #22 Tuanzie hapa: Nini tofauti kati ya Afisa Elimu na D.E.O?
kikonko JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 513 Reaction score 124 May 22, 2016 #23 Duduvwili said: Jaman mbona mnawashambulia walimu hvyo mambo ya mishahara kiduchu inahusiana vipi hapa? Click to expand... Tena mkome kuwatukana walimu.unayemdharau sasa bila yeye usingekuwa na mshahara huo mkubwa.kitwanga wewe
Duduvwili said: Jaman mbona mnawashambulia walimu hvyo mambo ya mishahara kiduchu inahusiana vipi hapa? Click to expand... Tena mkome kuwatukana walimu.unayemdharau sasa bila yeye usingekuwa na mshahara huo mkubwa.kitwanga wewe
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,169 May 22, 2016 #24 Mzito Kabwela said: Wilaya ya KIMBA iko Mwanza vile? Click to expand... Hii KIMBA itakuwa wilaya mpya katika mkoa wa Mwanza!
Mzito Kabwela said: Wilaya ya KIMBA iko Mwanza vile? Click to expand... Hii KIMBA itakuwa wilaya mpya katika mkoa wa Mwanza!
FORCE NAMBA JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 937 Reaction score 328 May 22, 2016 #25 Loading..............
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,298 Reaction score 4,861 May 22, 2016 #26 Umeandika kwa mzuka sana, acha kuandika kwa mihemko
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,697 Reaction score 4,914 May 22, 2016 #27 Mkome kudisi walimu kila mtu akibanwa haja anazungumzia walimu hebu kuweni na utu tuwafanyie nn mjue tuna manufaa kwenye familia zenu?
Mkome kudisi walimu kila mtu akibanwa haja anazungumzia walimu hebu kuweni na utu tuwafanyie nn mjue tuna manufaa kwenye familia zenu?
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 May 23, 2016 #28 KANAN said: sijaelewa Click to expand... Kwa summary DEO wa Kwimba akiwa katika kazi zake za kawaida shuleni kwao. Afisa mmoja kapewa Cheo cha uDEO wa Kwimba? Je umeelewa wakati yeye akijijua ni DEO naakiendelea na kazi za ujenzi wa Taifa. Hilki tukio kalilinganusha na 'UMAFIA"jeumeelewa?
KANAN said: sijaelewa Click to expand... Kwa summary DEO wa Kwimba akiwa katika kazi zake za kawaida shuleni kwao. Afisa mmoja kapewa Cheo cha uDEO wa Kwimba? Je umeelewa wakati yeye akijijua ni DEO naakiendelea na kazi za ujenzi wa Taifa. Hilki tukio kalilinganusha na 'UMAFIA"jeumeelewa?
H hahaha always done JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 1,435 Reaction score 2,434 May 23, 2016 #29 Nilifikili Deo ( deusi kwimba)afu kwimba ubini:: duu; ntoke