Deo Kisandu akacha siasa


mimi kwa kweli sijakuelewa ndugu Kisandu..sijaelewa unaamini katika nini, sijaelewa falsafa yako kisiasa, katika maandishi yako sijayaona maono yako. kwa ufupi mimi naona umechagua kutokueleweka. jambo moja tu naweza kuliona..umeamua kuhamia ACT-Tanzania. pole mimi naona unapotea zaidi....kila la kheri..pengine katika kupotea unaweza kuiona njia.....Mungu akutangulie
 
bila shaka wewe jamaa ndo yule mwalimu kanjanja aliyetajwa na wasira......
 
karibu chama makini cha ACT.. nccr na chadema sio vyama vya siasa,,ni magenge ya matapeli na wahuni
 

Ukiingia katika siasa na njaa kama ya Kisandu na the likes unaishia kuaibika tu .Mko wengi Kisandu utaibuka soon na hoja dhoofu zaidi ya hii .
 
Dhambi ya usaliti ndiyo iliyomuuwa hata Yuda Iskariote. Pole bwana Kisandu hayo ndiyo matokeo mya usaliti wako wala usisingizie NCCR Mageuzi, shida unayo mwenyewe.
 

Way direct to magamba. All the best. Na pole sana.
 
Dhambi ya usaliti inamtesa.Usije ukafikia tu level ya kusaliti familia!.
 
Kisandu Alisaidia Nini Kwenye Chama Chake? Wanaomfahamu Tufahamisheni Na Sisi.Mi Ndo Kwanza Namsikia
 
Huyu ni kibaraka wa Zitto Kabwe.Anajiandaa kujiunga na ACT.
 
Ukiingia katika siasa na njaa kama ya Kisandu na the likes unaishia kuaibika tu .Mko wengi Kisandu utaibuka soon na hoja dhoofu zaidi ya hii .

Njaa ya Kisandu chamtoto. Njaa ya Juliana Shonza ndio aibu tupu. Na anautumia usichana wake vizuri sana
 
Last edited by a moderator:

Mkuu uko sahihi, siasa za Tz tumewaachia wajinga, matokeo tayari tunayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…