Deo Kisandu akacha siasa

Deo Kisandu akacha siasa

eti naye alikua mwanamageuzi! mzalendo gani anaetaka kuhurumiwa apewe japo elfu kumi wakati wa kufanya harakat za kuwakomboa watanzania? usichanganye biashara/ujasiriamali na siasa/harakat kauze nyanya upate hiyo elfu kumi.
 
Akalime siasa,,,amebaka harakati,hana nyota wala uwezo!
 
TAMKO LA KUJIVUA UANACHAMA WA CHAMA CHA
NCCR – MAGEUZI 17 Juni 2014.

1 :0 UTANGULIZI
Ndugu wana habari na ndugu Watanzania, kwa kutambua mchango wangu mkubwa ambao nimkuwa nikiufanya katika ujenzi wa vyama vya siasa hasa Upinzani hapa nchini, ni dhahiri nimekuwa mjenzi wa vyama kuliko mafanikio ya wananchi. Nimegundua mengi sana na kujifunza mengi sana juu ya hivyo vyama vyetu vya Siasa, tunapotafuta demokrasia katika nchi yetu sio tu kuwa huru kwa kila jambo bali kuwa na UTU kwa watu tunaowatafutia Demokrasia ya kweli, hatuwezi kusema nchi haina demokrasia kama hatujatenda haki kwa wanachama au wananchi wetu.

SABABU ZA KUJIUDHURU UANACHAMA NA NYADIFA ZOTE ZA UONGOZI.

2 :0 AJALI YA GARI
Mwaka jana June 2013 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Udiwani Wilayani sengerema Kata ya Nyampulukano na mimi nikiwa msimamizi wa Uchaguzi huo mdogo wa marudio, jumamosi ya kuamkia uchaguzi tulipata ajali ya gari tukitoka kukagua vituo vya kupigia kura na mimi nilikuwa kiti cha mbele cha gari na nikapata maumivu makali sana, japo nilipewa huduma ya kwanza lakini baada ya hapo sikupata matibabu stahiki kitu ambacho mpaka sasa, nisingeweza kulaumu kama hawajui lakini wanajua fika viongozi wenzangu, na ukizingatia wakati ule nilikuwa Katibu wa Mahusiano na Uenezi Taifa kitengo cha Vijana.

Kutokana na hali kuwa si nzuri na kufikia kuona nalalamika ujue kabisa hali si nzuri ki afya, jambo la msingi kwa wenzangu hata kama wanahisi na makosa lakini jambo la Busara ni UTU kwanza wakumponya aliye mgonjwa ndipo busara zingine zinafanyika, kiukweli nasikitika sana na ninaumia sana kwa tukio hili maana ile ilikuwa ni kazi ya chama na siya mtu, ina maana hata Elfu kumi tu nayo ni ngumu ? kweli hapa tujiulize sasa, na ndio maana naumia sana kwa hilo, kwa hili mimi naona kama wamenitelekeza na kuniachia familia yangu mzigo.

Nashauri tu kuwa vijana wenzangu wa Kitanzania tunapo jiunga na vyama vya Siasa tuchunguze UTU kwanza kabla hatujafikia maamuzi na tusiwe washabiki wasiasa bila kujua hatima yetu kimaisha, nashauri kama vijana tuwe tunasapotiana kwenye matatizo maana leo limemkuta Kisandu kesho linakuja kwako. Nimejaribu hatakuomba msaada kwa baadhi ya viongozi rafiki msaada wa aina yoyote bila mafanikio.

USHAURI WANGU kwa chama changu NCCR – Mageuzi naomba kama hili limetokea kwangu basi lisijirudie kwa mwingine kwani hata Mungu hapendi kuona hali kama hizo.

Kutokana na hili la matibabu ndugu na familia yangu wamenishauri niachane na Siasa za vyama ili waweze kuona wananisaidia vipi, kimsingi naungana na ndugu zangu na kukubali ombi lao kuliko kuumia namna hii. Naomba msamaha kwa viongozi wenzangu pale tulipo kwazana na mimi na wasamehe pale walipo nikosea japo nabaki na maumivu ya kiafya.

3 :0 KATIBA MPYA
Kwa upande wa swala la KATIBA MPYA, huu mchakato si wa mtu mmoja au watu kadhaa bali ni mchakato wa Watanzania wote. Swala la Muundo wa Muungano si swala la CCM wala UKAWA bali ni letu sote, hapa ningeshauri tu kuepuka mvutano baina ya serikali mbili au Serikali tatu, wakakaa pamoja na kufikia maridhiano yenye Busara ili tupate Katiba mpya inayoendana na mazingira ya Kitanzania. Pia lazima wawakilishi wetu Bunge la Katiba watambue kuwa maoni ya Serikai mbili ni ya Wananchi na Maoni ya Serikali tatu nayo pia ni ya Wananchi hivyo Busara ndio itumike kurejesha Umoja wetu wenye katiba ya pamoja.

4 :0 KUHUSU BAJETI YA SERIKALI MWAKA HUU
Viongozi wetu watambue kuwa Bajeti hii ni ya Watanzania wote hivyo badala ya kukosoa tunapaswa kuboresha na tusikosoe bila kuiboresha maana kama tutakosoa tu mwisho wa siku tutakuwa hatuja tibu chochote bali serikali ikosolewe kwa kupewa solution.

5:0 UKAWA
Hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi, Baba au Mama akibagua baadhi ya watoto tena wadamu ni dhambi kali sana ya ubaguzi inayohitaji kukemewa. Ndugu zangu wanao jiita UKAWA hawa jamaa si wazalendo kabisa wametawaliwa na dhambi ya ubaguzi wa vyama. Vyama vya Siasa vipo 23, vyama 22 vikawa ni vyama vya Upinzani, iweje leo wote ni wapinzani eti UKAWA iwe ya vyama vitatu vya upinzani fikiria kama ni uchaguzi Mkuu, vyama vitatu kugombea uchaguzi haisaidii maana hata robo haijafika. Ubaguzi uliofanywa na hawa jamaa hauvumiliki kabisa na si vitendo bali ni Umoja ndani ya Mtengano. Wakiweza kuungana vyote vyama 22 vikawa UKAWA basi nitakuwa tayari kuendelea na siasa na hata Serikali 3 nitaunga mkono lakini dhambi ya kubaguana ya vyama itaendelea basi ni heri Serikali 2 au 1 maana UKAWA ni ya vyama vitatu na si ya wananchi maana ya UKAWA ya wananchi ni ya vyama vyote 22 vya Upinzani dhambi ya ubaguzi iacheni ni Pepo mchafu.

6:0 FIKRA MBADALA
Vijana wenzangu tuache mihemko na jaziba katika ushabiki wa mambo ya kisiasa na tuhamie katika uzalendo wa kujenga nchi yeye Amani na Uzalendo bila kujali itikadi za vyama vyetu na tusijikite kuchagua vyama bali tuchague viongozi wanaotufaa bila kujali Ushabiki wa vyama.

7:0 MAPUMZIKO
Kwa sasa nimeamua kupumzika siasa na kuangalia mstakabli wa maisha ya kifamilia kwanza, pamoja na kupumzika huko nitapumzika na kwamba nitakuwa naelekea chama gani hilo si swala la leo mpaka pale nitakapooona inafaa na sijui ni lini.

Ndugu wanahabari nifikishieni taarifa hii kwa umma wa Watanzania na Mungu atupe uzima wa maisha marefu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.

MWL. DEOGRATIUS KISANDU
ALIYEKUWA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU TAIFA NCCR – MAGEUZI 17 / 06 / 2014

Umasikini na ujinga ni ugonjwa unaowatafuna vijana walio wengi aina ya Kisandhu. Hii ni kutoka na vijana wengi kuuza utu wao kwa sababu ya kutaka maisha ya mtelemko!
 
TAMKO LA KUJIVUA UANACHAMA WA CHAMA CHA NCCR – MAGEUZI

Juni 2014.

1 :0 UTANGULIZI

Ndugu wana habari na ndugu Watanzania, kwa kutambua mchango wangu mkubwa ambao nimkuwa nikiufanya katika ujenzi wa vyama vya siasa hasa Upinzani hapa nchini, ni dhahiri nimekuwa mjenzi wa vyama kuliko mafanikio ya wananchi. Nimegundua mengi sana na kujifunza mengi sana juu ya hivyo vyama vyetu vya Siasa, tunapotafuta demokrasia katika nchi yetu sio tu kuwa huru kwa kila jambo bali kuwa na UTU kwa watu tunaowatafutia Demokrasia ya kweli, hatuwezi kusema nchi hainademokrasia kama hatujatenda haki kwa wanachama au wananchi wetu.

SABABU ZA KUJIUDHURU UANACHAMA NA NYADIFA ZOTE ZA UONGOZI.

2 :0 AJALI YA GARI

Mwaka jana June 2013 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Udiwani Wilayanisengerema Kata ya Nyampulukano na mimi nikiwa
msimamizi wa Uchaguzi huo mdogo wa marudio, jumamosi ya kuamkia uchaguzi tulipata ajali ya gari tukitoka kukagua vituo vya kupigia kura na mimi nilikuwa kiti cha mbele cha gari na nikapata maumivu makali sana, japo nilipewa huduma ya kwanza lakini baada ya hapo sikupata matibabu stahiki kitu ambacho mpaka sasa, nisingeweza kulaumu kama hawajui lakini wanajua fika viongozi wenzangu, na ukizingatia wakati ule nilikuwa Katibu wa Mahusiano na Uenezi Taifa kitengo cha Vijana.

Kutokana na hali kuwa si nzuri na kufikia kuona nalalamika ujue kabisa hali si nzuri ki afya, jambo la msingi kwa wenzangu hata kama wanahisi na makosa lakini jambo la Busara ni UTU kwanza wakumponya aliye mgonjwa ndipo busara zingine zinafanyika, kiukweli nasikitika sana na ninaumia sana kwa tukio hili maana ile ilikuwa ni kazi ya chama na siya mtu, ina maana hata Elfu kumi tu nayo ni ngumu ? kweli hapa tujiulize sasa, na ndio maana naumia sana kwa hilo, kwa hili mimi naona kama wamenitelekeza na kuniachia familia yangu mzigo.

Nashauri tu kuwa vijana wenzangu wa Kitanzania tunapo jiunga na vyama vya Siasa tuchunguze UTU kwanza kabla hatujafikia maamuzi na tusiwe washabiki wasiasa bila kujua hatima yetu kimaisha, nashauri kama vijana tuwe tunasapotiana kwenye matatizo maana leo limemkuta Kisandu kesho linakuja kwako. Nimejaribu hatakuomba msaada kwa baadhi ya viongozi rafiki msaada wa aina yoyote bila mafanikio.

USHAURI WANGU kwa chama changu NCCR – Mageuzi naomba kama hili limetokea kwangu basi lisijirudie kwa mwingine kwani hata Mungu hapendi kuona hali kama hizo.

Kutokana na hili la matibabu ndugu na familia yangu wamenishauri niachane na Siasa za vyama ili waweze kuona wananisaidia vipi, kimsingi
naungana na ndugu zangu na kukubali ombi lao kuliko kuumia namna hii.

Naomba msamaha kwa viongozi wenzangu pale tulipo kwazana na mimi na wasamehe pale walipo nikosea japo nabaki na maumivu ya kiafya.

3 :0 KATIBA MPYA

Kwa upande wa swala la KATIBA MPYA, huu mchakato si wa mtu mmoja au watu kadhaa bali ni mchakato wa Watanzania wote. Swala la Muundo wa
Muungano si swala la CCM wala UKAWA bali ni letu sote, hapa ningeshauri tu kuepuka mvutano baina ya serikali mbili au Serikali tatu, wakakaa
pamoja na kufikia maridhiano yenye Busara ili tupate Katiba mpya inayoendana na mazingira ya Kitanzania. Pia lazima wawakilishi wetu Bunge la Katiba watambue kuwa maoni ya Serikai mbili ni ya Wananchi na Maoni ya Serikali tatu nayo pia ni ya Wananchi hivyo Busara ndio itumike kurejesha Umoja wetu wenye katiba ya pamoja.

4 :0 KUHUSU BAJETI YA SERIKALI MWAKA HUU

Viongozi wetu watambue kuwa Bajeti hii ni ya Watanzania wote hivyo badala ya kukosoa
tunapaswa kuboresha na tusikosoe bila kuiboresha
maana kama tutakosoa tu mwisho wa siku tutakuwa hatuja tibu chochote bali serikali ikosolewe kwa kupewa solution.

5:0 UKAWA

Hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi, Baba au Mama akibagua baadhi ya watoto tena wadamu ni dhambi kali sana ya ubaguzi inayohitaji
kukemewa. Ndugu zangu wanao jiita UKAWA hawa jamaa si wazalendo kabisa wametawaliwa na dhambi ya ubaguzi wa vyama. Vyama vya Siasa vipo 23, vyama 22 vikawa ni vyama vya Upinzani, iweje leo wote ni wapinzani eti UKAWA iwe ya vyama vitatu vya upinzani fikiria kama niuchaguzi Mkuu, vyama vitatu kugombea uchaguzi haisaidii maana hata robo haijafika. Ubaguzi uliofanywa na hawa jamaa hauvumiliki kabisa na si
vitendo bali ni Umoja ndani ya Mtengano.

Wakiweza kuungana vyote vyama 22 vikawa UKAWA basi nitakuwa tayari kuendelea na siasa na hata Serikali
3 nitaunga mkono lakini dhambi ya kubaguana ya vyama itaendelea basi ni heri Serikali 2 au 1 maana UKAWA ni ya vyama vitatu na si ya wananchi maana ya UKAWA ya wananchi ni ya vyama vyote 22 vya Upinzani dhambi

ya ubaguzi iacheni ni Pepo mchafu.

6:0 FIKRA MBADALA

Vijana wenzangu tuache mihemko na jaziba katika ushabiki wa mambo ya kisiasa na tuhamie katika uzalendo wa kujenga nchi yeye Amani na
Uzalendo bila kujali itikadi za vyama vyetu na tusijikite kuchagua vyama bali tuchague viongozi wanaotufaa bila kujali Ushabiki wa vyama.

7:0 MAPUMZIKO

Kwa sasa nimeamua kupumzika siasa na kuangalia mstakabli wa maisha ya kifamilia kwanza, pamoja na kupumzika huko nitapumzika na kwamba
nitakuwa naelekea chama gani hilo si swala la leo mpaka pale nitakapooona inafaa na sijui ni lini.

Ndugu wanahabari nifikishieni taarifa hii kwa umma wa Watanzania na Mungu atupe uzima wa maisha marefu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.

MWL. DEOGRATIUS KISANDU

ALIYEKUWA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU TAIFA NCCR – MAGEUZI

17 / 06 / 2014

0786 025 609

Published 6/17/2014 08:19:00 PM

source; WAVUTI
 
Kumbe Ukawa wametawaliwa na Dhambi ya Ubaguzi ha!ha! Siasa inamambo....Inaoneka vyama vya upizani kwenye matatizo wengi wao wanatupana
 
*** someni hiyo Habari na kutafakari; Vyama vya Siasa sio our PAY-LORDS jamami...

Kweli tutafika ? kwanini EXTRAVAGANCE kuondoka CHAMA ? Na moja ya sababu ni CHAMA hicho kutosaidia wakati wa AJALI chama kilitelekeza FAMILIA... Jamani hivyi VYAMA sisi tunaviangalia tofauti kabisaa na vilivyoundwa...

Ndio Maana vijana wenzetu wanaruka ruka vyama sababu ya kupata donge zuri la Unga wa UGALI...

It is a shame... wengi wanaosubiri hayo na kutokufanya kazi kwa kutokwa na jasho... the OPPOSITE is the SHAME and the PAIN coming 2015...
 
Huyu naye ni njaa tu zinamsumbua! Kwamba alipougua hakusaidiwa matibabu??!!! Hivi ni nani alimwambia kuwa chama cha siasa ni Health insurance company?
 
This is.how we seek personal political attention? Hii tabia na siasa za namna hii haziwezi kumsaidia Kisandu!....haziwezi kusaidia hata aliyemtuma kuzungukia vyama.
 
Kapumzike Mwl Kisandu utulize kichwa chako hiyo ndio siasa na huo ndio upinzani! Pole kwa maswahibu yote yaliyokukuta ndugu yangu Mungu akupe moyo wa uvumilivu na uzalendo kwa nchi yako katika kipindi chote cha mapumziko yako!

Sie tunaendelea na siasa tunajiimarisha vyema vijijini kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika October! Kwahakika CCM tutashinda kwa kishindo nchi nzima kwani kila kijiji, kata, wilaya na Mkoa kuna vijana wanaratibu zoezi hili kwa ueledi mkubwa!

Ukipumzika karibu nyumbani kwa wazazi wako maana marafiki siyo wakweli daima karibu nyumbani Kisandu
 
Tunawaambia vijana muende shule, mtafute kazi, mlipekodi kama sisi wengine siasa isiwe ni ajira..na kutumika na ccm ni kubaya sana ..kama uliuza uvunge 2010 unafikiri nini..
cc.juliana shonza, mtela mwampamba, msalani, ritz, mwanadiwani..tafuteni ajira la sivyo mtakufa njaa siku moja
 
Japo sijui kulitokea nn kwa Kisandu na NCCR, lakini aliyoyaandika ndio sahihi yanayowasukuma wengi ktk kujiunga na vyama vya siasa. Wanaona ni mahali rahisi pakwenda wakatengeneza ajira rahisi, zinazolipa vizuri na kutoa mamraka na madaraka kwa juhudi kidogo, akili kidogo na mtaji sufuri. Wanavyofika mambo yakawa tofauti ni kuanza kuhama na kulalama. Muone Kisandu anavyolalama kabla hata yakuhamia hicho chama anachokusudia kuhamia. Angependa kama nacho kingekuwa ukawa. Akisikia kimo ukawa atajiunga nacho na serikali tatu zitakuwa sawa tu. Na kisipojiunga na ukawa yeye hajiungi nacho na serikali mbili au moja ni halali. Huyu mtu ni sampuli gani ktk kuwatafutia maisha bora wtz? Unaona ilivyo halali kutelekezwa. Kwa tabia hii atahama sana vyama bora ajirudie ccm yake na ualimu wake. Wakati ccm nchi inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno, mageuzi inajengwa na menye meno na inaliwa na wenye moyo. Kisandu hana meno wala moyo wakujenga nchi hataila nchi kwa moyo wala weno. Ndege wafananao huruka pamoja.
 
fedha ni mwanaharamu sana, kijana mdogo unajihangaisha kama binti anayetafuta mume, dhambi ya wasaliti haitawaacha kamwe
 
Alipata maumivu makali ya wapi? Kiuno, tumbo ama mgongo? Anaposema 'hata elfu kumi ni shida' anamaanisha nini? Mi sijawahi muelewa huyu baba
 
TAMKO LA KUJIVUA UANACHAMA WA CHAMA CHA
NCCR – MAGEUZI 17 Juni 2014.

1 :0 UTANGULIZI
Ndugu wana habari na ndugu Watanzania, kwa kutambua mchango wangu mkubwa ambao nimkuwa nikiufanya katika ujenzi wa vyama vya siasa hasa Upinzani hapa nchini, ni dhahiri nimekuwa mjenzi wa vyama kuliko mafanikio ya wananchi. Nimegundua mengi sana na kujifunza mengi sana juu ya hivyo vyama vyetu vya Siasa, tunapotafuta demokrasia katika nchi yetu sio tu kuwa huru kwa kila jambo bali kuwa na UTU kwa watu tunaowatafutia Demokrasia ya kweli, hatuwezi kusema nchi haina demokrasia kama hatujatenda haki kwa wanachama au wananchi wetu.

SABABU ZA KUJIUDHURU UANACHAMA NA NYADIFA ZOTE ZA UONGOZI.

2 :0 AJALI YA GARI
Mwaka jana June 2013 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Udiwani Wilayani sengerema Kata ya Nyampulukano na mimi nikiwa msimamizi wa Uchaguzi huo mdogo wa marudio, jumamosi ya kuamkia uchaguzi tulipata ajali ya gari tukitoka kukagua vituo vya kupigia kura na mimi nilikuwa kiti cha mbele cha gari na nikapata maumivu makali sana, japo nilipewa huduma ya kwanza lakini baada ya hapo sikupata matibabu stahiki kitu ambacho mpaka sasa, nisingeweza kulaumu kama hawajui lakini wanajua fika viongozi wenzangu, na ukizingatia wakati ule nilikuwa Katibu wa Mahusiano na Uenezi Taifa kitengo cha Vijana.

Kutokana na hali kuwa si nzuri na kufikia kuona nalalamika ujue kabisa hali si nzuri ki afya, jambo la msingi kwa wenzangu hata kama wanahisi na makosa lakini jambo la Busara ni UTU kwanza wakumponya aliye mgonjwa ndipo busara zingine zinafanyika, kiukweli nasikitika sana na ninaumia sana kwa tukio hili maana ile ilikuwa ni kazi ya chama na siya mtu, ina maana hata Elfu kumi tu nayo ni ngumu ? kweli hapa tujiulize sasa, na ndio maana naumia sana kwa hilo, kwa hili mimi naona kama wamenitelekeza na kuniachia familia yangu mzigo.

Nashauri tu kuwa vijana wenzangu wa Kitanzania tunapo jiunga na vyama vya Siasa tuchunguze UTU kwanza kabla hatujafikia maamuzi na tusiwe washabiki wasiasa bila kujua hatima yetu kimaisha, nashauri kama vijana tuwe tunasapotiana kwenye matatizo maana leo limemkuta Kisandu kesho linakuja kwako. Nimejaribu hatakuomba msaada kwa baadhi ya viongozi rafiki msaada wa aina yoyote bila mafanikio.

USHAURI WANGU kwa chama changu NCCR – Mageuzi naomba kama hili limetokea kwangu basi lisijirudie kwa mwingine kwani hata Mungu hapendi kuona hali kama hizo.

Kutokana na hili la matibabu ndugu na familia yangu wamenishauri niachane na Siasa za vyama ili waweze kuona wananisaidia vipi, kimsingi naungana na ndugu zangu na kukubali ombi lao kuliko kuumia namna hii. Naomba msamaha kwa viongozi wenzangu pale tulipo kwazana na mimi na wasamehe pale walipo nikosea japo nabaki na maumivu ya kiafya.

3 :0 KATIBA MPYA
Kwa upande wa swala la KATIBA MPYA, huu mchakato si wa mtu mmoja au watu kadhaa bali ni mchakato wa Watanzania wote. Swala la Muundo wa Muungano si swala la CCM wala UKAWA bali ni letu sote, hapa ningeshauri tu kuepuka mvutano baina ya serikali mbili au Serikali tatu, wakakaa pamoja na kufikia maridhiano yenye Busara ili tupate Katiba mpya inayoendana na mazingira ya Kitanzania. Pia lazima wawakilishi wetu Bunge la Katiba watambue kuwa maoni ya Serikai mbili ni ya Wananchi na Maoni ya Serikali tatu nayo pia ni ya Wananchi hivyo Busara ndio itumike kurejesha Umoja wetu wenye katiba ya pamoja.

4 :0 KUHUSU BAJETI YA SERIKALI MWAKA HUU
Viongozi wetu watambue kuwa Bajeti hii ni ya Watanzania wote hivyo badala ya kukosoa tunapaswa kuboresha na tusikosoe bila kuiboresha maana kama tutakosoa tu mwisho wa siku tutakuwa hatuja tibu chochote bali serikali ikosolewe kwa kupewa solution.

5:0 UKAWA
Hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi, Baba au Mama akibagua baadhi ya watoto tena wadamu ni dhambi kali sana ya ubaguzi inayohitaji kukemewa. Ndugu zangu wanao jiita UKAWA hawa jamaa si wazalendo kabisa wametawaliwa na dhambi ya ubaguzi wa vyama. Vyama vya Siasa vipo 23, vyama 22 vikawa ni vyama vya Upinzani, iweje leo wote ni wapinzani eti UKAWA iwe ya vyama vitatu vya upinzani fikiria kama ni uchaguzi Mkuu, vyama vitatu kugombea uchaguzi haisaidii maana hata robo haijafika. Ubaguzi uliofanywa na hawa jamaa hauvumiliki kabisa na si vitendo bali ni Umoja ndani ya Mtengano. Wakiweza kuungana vyote vyama 22 vikawa UKAWA basi nitakuwa tayari kuendelea na siasa na hata Serikali 3 nitaunga mkono lakini dhambi ya kubaguana ya vyama itaendelea basi ni heri Serikali 2 au 1 maana UKAWA ni ya vyama vitatu na si ya wananchi maana ya UKAWA ya wananchi ni ya vyama vyote 22 vya Upinzani dhambi ya ubaguzi iacheni ni Pepo mchafu.

6:0 FIKRA MBADALA
Vijana wenzangu tuache mihemko na jaziba katika ushabiki wa mambo ya kisiasa na tuhamie katika uzalendo wa kujenga nchi yeye Amani na Uzalendo bila kujali itikadi za vyama vyetu na tusijikite kuchagua vyama bali tuchague viongozi wanaotufaa bila kujali Ushabiki wa vyama.

7:0 MAPUMZIKO
Kwa sasa nimeamua kupumzika siasa na kuangalia mstakabli wa maisha ya kifamilia kwanza, pamoja na kupumzika huko nitapumzika na kwamba nitakuwa naelekea chama gani hilo si swala la leo mpaka pale nitakapooona inafaa na sijui ni lini.

Ndugu wanahabari nifikishieni taarifa hii kwa umma wa Watanzania na Mungu atupe uzima wa maisha marefu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.

MWL. DEOGRATIUS KISANDU
ALIYEKUWA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU TAIFA NCCR – MAGEUZI 17 / 06 / 2014

Mnafiki huyu jamaa,hafai hata kidogo 2010 alifanikisha kuiuza cdm kwa ccm lushoto kwa vilaki kadhaa ana njaa sana huyu chalii.
 
tamko la kujivua uanachama wa chama cha
nccr – mageuzi 17 juni 2014.

1 :0 utangulizi
ndugu wana habari na ndugu watanzania, kwa kutambua mchango wangu mkubwa ambao nimkuwa nikiufanya katika ujenzi wa vyama vya siasa hasa upinzani hapa nchini, ni dhahiri nimekuwa mjenzi wa vyama kuliko mafanikio ya wananchi. Nimegundua mengi sana na kujifunza mengi sana juu ya hivyo vyama vyetu vya siasa, tunapotafuta demokrasia katika nchi yetu sio tu kuwa huru kwa kila jambo bali kuwa na utu kwa watu tunaowatafutia demokrasia ya kweli, hatuwezi kusema nchi haina demokrasia kama hatujatenda haki kwa wanachama au wananchi wetu.

Sababu za kujiudhuru uanachama na nyadifa zote za uongozi.

2 :0 ajali ya gari
mwaka jana june 2013 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa udiwani wilayani sengerema kata ya nyampulukano na mimi nikiwa msimamizi wa uchaguzi huo mdogo wa marudio, jumamosi ya kuamkia uchaguzi tulipata ajali ya gari tukitoka kukagua vituo vya kupigia kura na mimi nilikuwa kiti cha mbele cha gari na nikapata maumivu makali sana, japo nilipewa huduma ya kwanza lakini baada ya hapo sikupata matibabu stahiki kitu ambacho mpaka sasa, nisingeweza kulaumu kama hawajui lakini wanajua fika viongozi wenzangu, na ukizingatia wakati ule nilikuwa katibu wa mahusiano na uenezi taifa kitengo cha vijana.

Kutokana na hali kuwa si nzuri na kufikia kuona nalalamika ujue kabisa hali si nzuri ki afya, jambo la msingi kwa wenzangu hata kama wanahisi na makosa lakini jambo la busara ni utu kwanza wakumponya aliye mgonjwa ndipo busara zingine zinafanyika, kiukweli nasikitika sana na ninaumia sana kwa tukio hili maana ile ilikuwa ni kazi ya chama na siya mtu, ina maana hata elfu kumi tu nayo ni ngumu ? Kweli hapa tujiulize sasa, na ndio maana naumia sana kwa hilo, kwa hili mimi naona kama wamenitelekeza na kuniachia familia yangu mzigo.

Nashauri tu kuwa vijana wenzangu wa kitanzania tunapo jiunga na vyama vya siasa tuchunguze utu kwanza kabla hatujafikia maamuzi na tusiwe washabiki wasiasa bila kujua hatima yetu kimaisha, nashauri kama vijana tuwe tunasapotiana kwenye matatizo maana leo limemkuta kisandu kesho linakuja kwako. Nimejaribu hatakuomba msaada kwa baadhi ya viongozi rafiki msaada wa aina yoyote bila mafanikio.

Ushauri wangu kwa chama changu nccr – mageuzi naomba kama hili limetokea kwangu basi lisijirudie kwa mwingine kwani hata mungu hapendi kuona hali kama hizo.

Kutokana na hili la matibabu ndugu na familia yangu wamenishauri niachane na siasa za vyama ili waweze kuona wananisaidia vipi, kimsingi naungana na ndugu zangu na kukubali ombi lao kuliko kuumia namna hii. Naomba msamaha kwa viongozi wenzangu pale tulipo kwazana na mimi na wasamehe pale walipo nikosea japo nabaki na maumivu ya kiafya.

3 :0 katiba mpya
kwa upande wa swala la katiba mpya, huu mchakato si wa mtu mmoja au watu kadhaa bali ni mchakato wa watanzania wote. Swala la muundo wa muungano si swala la ccm wala ukawa bali ni letu sote, hapa ningeshauri tu kuepuka mvutano baina ya serikali mbili au serikali tatu, wakakaa pamoja na kufikia maridhiano yenye busara ili tupate katiba mpya inayoendana na mazingira ya kitanzania. Pia lazima wawakilishi wetu bunge la katiba watambue kuwa maoni ya serikai mbili ni ya wananchi na maoni ya serikali tatu nayo pia ni ya wananchi hivyo busara ndio itumike kurejesha umoja wetu wenye katiba ya pamoja.

4 :0 kuhusu bajeti ya serikali mwaka huu
viongozi wetu watambue kuwa bajeti hii ni ya watanzania wote hivyo badala ya kukosoa tunapaswa kuboresha na tusikosoe bila kuiboresha maana kama tutakosoa tu mwisho wa siku tutakuwa hatuja tibu chochote bali serikali ikosolewe kwa kupewa solution.

5:0 ukawa
hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi, baba au mama akibagua baadhi ya watoto tena wadamu ni dhambi kali sana ya ubaguzi inayohitaji kukemewa. Ndugu zangu wanao jiita ukawa hawa jamaa si wazalendo kabisa wametawaliwa na dhambi ya ubaguzi wa vyama. Vyama vya siasa vipo 23, vyama 22 vikawa ni vyama vya upinzani, iweje leo wote ni wapinzani eti ukawa iwe ya vyama vitatu vya upinzani fikiria kama ni uchaguzi mkuu, vyama vitatu kugombea uchaguzi haisaidii maana hata robo haijafika. Ubaguzi uliofanywa na hawa jamaa hauvumiliki kabisa na si vitendo bali ni umoja ndani ya mtengano. Wakiweza kuungana vyote vyama 22 vikawa ukawa basi nitakuwa tayari kuendelea na siasa na hata serikali 3 nitaunga mkono lakini dhambi ya kubaguana ya vyama itaendelea basi ni heri serikali 2 au 1 maana ukawa ni ya vyama vitatu na si ya wananchi maana ya ukawa ya wananchi ni ya vyama vyote 22 vya upinzani dhambi ya ubaguzi iacheni ni pepo mchafu.

6:0 fikra mbadala
vijana wenzangu tuache mihemko na jaziba katika ushabiki wa mambo ya kisiasa na tuhamie katika uzalendo wa kujenga nchi yeye amani na uzalendo bila kujali itikadi za vyama vyetu na tusijikite kuchagua vyama bali tuchague viongozi wanaotufaa bila kujali ushabiki wa vyama.

7:0 mapumziko
kwa sasa nimeamua kupumzika siasa na kuangalia mstakabli wa maisha ya kifamilia kwanza, pamoja na kupumzika huko nitapumzika na kwamba nitakuwa naelekea chama gani hilo si swala la leo mpaka pale nitakapooona inafaa na sijui ni lini.

Ndugu wanahabari nifikishieni taarifa hii kwa umma wa watanzania na mungu atupe uzima wa maisha marefu.

Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika.

Mwl. Deogratius kisandu
aliyekuwa mjumbe wa halmashauri kuu taifa nccr – mageuzi 17 / 06 / 2014
huyu kashaukalia atulie ausikilizie unavyoenda, swala la kutapatapa litamfanya aumie bureee. Wakishamaliza watatoa then arudi kufundisha akiwa anasikilizia maumivu yakuruhusu buzz wakti hajazoea.
 
Dhambi ya usaliti inamtafuna huyu dogo.Nadhani chama kinachomfaa kwa sasa ni act chama cha wasaliti na wasaka tonge kama yeye!
 
Jamaa ni mwalim wa special education. Athari za hii kozi ni kuzalisha professionals wenye kupenda lihurumiwa, kulialia, na kuchukulia kila kitu kwa mtazamo hasi. Maana wao wanakuwa walemavu kuliko clients wao
 
Back
Top Bottom