Ndio Maana Wanalala Bungeni lakini wanapata hizo 200,000 bila tatizo
Mawazo haya yanaonekana aliyeyatoa ni mfuga majini.mtu kama padri slaa muda wote anawaza maandamano na fujo unategemea nini?
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge
mtu kama padri slaa muda wote anawaza maandamano na fujo unategemea nini?
Alikwambilia wapi hayo maneno Huyo Furikujombe AKA. Filikunjombe? Usitulete uzushi na wewe na habari zako za kijiweni....Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge
Alikwambilia wapi hayo maneno Huyo Furikujombe AKA. Filikunjombe? Usitulete uzushi na wewe na habari
Aliyasema hayo jana arusha aicc kwenye nssf forum wakati akichangia mada ya stress mgt
Kumbe unajua kufafanua? Sasa sikunyengine ukileta habari sema Kama ilivyokua sio nusu nusu ili wachangiaji
Na wao waelewe au, don't copy if you can't paste.