Simba mnyama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 348
- 129
Dah kongamano tamu sana na kama vichwa na vilaza wameonekana leo.
rekebisha jina kwa ajili ya kuweka sawa kumbukumbu kwa vizazi VIJAVYOmaneno haya ya busara husemwa kkwa nadra sana na viongozi wa CCM ambao ni watumishi wawananchi. Kunjombe ww jembe mimi binafsi nakuunga mkono. ni dhana potofu kuamini kuwa CCM itaongoza milele ipo siku itatoka madarakani lkwa stail hii ya viongozi wanaovaa miwani ya mbao na kuwadhalau wananchi