Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

Simba mnyama

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
348
129
Hivi punde katika Kongamano ya miaka 51 baada ya uhuru, mwasiasa machachari na mbuge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe ametoboa ukweli kuwa kuna kasumba na dhana potofu miongoni mwa watanzania wakidhani kuwa nchi hii (Tanzania) ni mali ya CCM. Hii nchi si mali ya CCM bali ya watanzania. Nimeipenda sana hiyo. Nape unayedhani kuwa hii nchi ni mali ya CCM umepotea, pata hiyo shule.
 
Mh. Deo Filikunjombe ni jembe yupo Ugambani ila hawatetemekei magamba. anatamani Gwanda ila inabidi kujipanga kwani kufilisiwa nje nje.
 
Watakuja watu hapa (wa mawazo mgando) na kupinga wakisema bila CCM hakuna Tanzania.
 
Yeah! Deo filikunjombe ndio kamanda pekee na mwenye akili aliyebaki CCM lakin kwa kudra za Allah one day tutakuwa naye katika team ya ukombozi.

Deo upo juu kamanda.
 
Dah kongamano tamu sana na kama vichwa na vilaza wameonekana leo.
 
Ukiupenda ukweli always utakuwa huru...hahiitaji kuongopa kama ahadi za JK..ukweli wasioupenda wahafidhina wa ccm utasemwa tuu hata iweje..
Deo kauona na anaamini ktk ukweli ambao Nauye na vilaza wenzake hawaupendi
 
Dah kongamano tamu sana na kama vichwa na vilaza wameonekana leo.

JM kilaza namba moja. Mzee Butiku busara tele. Makamanda Esther Wasira, Deo Filikunjombe, Majjid Mjengwa wamechana ile mbaya waki-reflect kizazi bora kijacho kwa uongozi wa taifa letu na sio wale mapacha wapumbavu waliokazania rais ajaye lazima awe post-1961. Tunahitaji kusikia tutavukaje hapa tulipo kama taifa na sio umri wa rais ajaye uweje!
 
Safi sana deo cjamuona deo mwngne CCM raha ya mtu kuwa mkeli unatoboa tu ukweli najua wanamchukia but watz tupo nyuma yako kamanda ikwezekana vaa gwanda na uendelee kuleta ukombozi kamanda deo keep it up dogo nakurespect umewafunika vbaya magamba jnr
 
Alikosa ujumbe NEC kwa kusaini kumuondoa Pinda, hizi kauli zitamkosesha ubunge 2015. CCM hawapendi wasema ukweli.
 
JeyKey au kilaza nape au toto la mkulima feki....p.i.n.d.a akipata clip ya maneno ya Deo filikunjombe au ndio watajua sio wote waliomo ndani ya ccmni vilaza.....dogo ameichana CCM ile mbayaaa....Deo magamba wakikuzingua 2015 hamia chadema.....wana Ludewa wana akili sana wapo nyuma yako watakupa kura kama kawa ...then utaingia mjengoni na gwanda kama Sugu
 
Ni kweli jamani huyu mh. Deo Filikunjombe hana unafki kama wenzie. hajali lolote ila anaamini katika ukweli, no matter what!
 
Mawazo(1).jpg


Kongamano la wasomi Chuo Kikuu Dar Es Salaam siku ya Uhuru Tanzania, Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe kupitia CCM katika mchango wake alisema:
  1. Umaskini wetu unatokana na viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kuongoza nchi hii kuwa wabinafsi.
  2. Watawala waondokane na dhana potovu kuwa Tanzania ni mali ya CCM, bali wasaidie kuelewa kuwa Tanzania ni mali ya watanzania kwa sasa CCM ndiyo inayoongoza.
  3. Kuna watendaji wa serikali wamevaa miwani ya mbao hawasikii, hawaelewi na wanawaangusha watanzania.

 
maneno haya ya busara husemwa kkwa nadra sana na viongozi wa CCM ambao ni watumishi wawananchi. Kunjombe ww jembe mimi binafsi nakuunga mkono. ni dhana potofu kuamini kuwa CCM itaongoza milele ipo siku itatoka madarakani lkwa stail hii ya viongozi wanaovaa miwani ya mbao na kuwadhalau wananchi
 
Huyu sasa anataka kufukuzwa CCM,maana jamaa hawachelewi kumwita Dodoma kwa mahojiano kama walivyofanya kwa mtangulizi wake marehemu Horace Kolimba.
 
maneno haya ya busara husemwa kkwa nadra sana na viongozi wa CCM ambao ni watumishi wawananchi. Kunjombe ww jembe mimi binafsi nakuunga mkono. ni dhana potofu kuamini kuwa CCM itaongoza milele ipo siku itatoka madarakani lkwa stail hii ya viongozi wanaovaa miwani ya mbao na kuwadhalau wananchi
rekebisha jina kwa ajili ya kuweka sawa kumbukumbu kwa vizazi VIJAVYO
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom