fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
sijacheka nimeishia kupigwa butwaa na bumbuwazi....
Naukakubali tu hao wawili wakupige?si ungeng'ang'ana nao kidogo
mmh! Na post zako alfu zenye ki2 ziwapi? Huyo shangazi unaemponda ulimtongoza akakukataa ama? Najua tatizo lako wewe kibogoyo.usione soo kuonyesha fizi zako.hapa 2po online.not unless umesoma hii jok ukiwa kati ya kadamnasi.uchekeshaji wako huna tofauti na shangaz wa chanel 10.ni wa kulazimisha mno,post zako zote mbil hazina kitu
utasoma wapi na asili yako ya kijaluo? Ha ha.Sijakusoma kabisa.
mmh! Na post zako alfu zenye ki2 ziwapi? Huyo shangazi unaemponda ulimtongoza akakukataa ama?
Najua tatizo lako wewe kibogoyo.usione soo kuonyesha fizi zako.hapa 2po online.not unless umesoma hii jok ukiwa kati ya kadamnasi.
Omela Ndukulukudusucho anatisha kwa ujuzi na ufahamu wa Kiswahili.
mbona unatokwa na povu mkuu? Hivi na wewe pia unafagalia dume zima kujiita shangazi? Kama ni ma2ci yameanza na huyo alienifananisha na shangazi..kama jok haiwagusi potezeeni.Acha matusi mkuu, kama watu wanakuambia hawacheki usikasirike na kutoa matusi...Huyo shangazi anayemsema ni mwanaume comedian anayetumia jina la shangazi,sasa kama unamaanisha yeye ni shoga sawa! Kwa matusi haya watu watashindwa kuchangia posti zako, sijui utakuwa umefaidika nini?