Dental.Wakuu kati ya dental surgery na radiotherapy Ipi ipo poa zaidi kwenye soko la ajira TZ??
DDS nzuri sanaWakuu kati ya dental surgery na radiotherapy Ipi ipo poa zaidi kwenye soko la ajira TZ??
Radiotherapy sio tamu sana kama huna diploma ya Radiography
Lilifanyika kosa la kiufundi kuanzisha degree ya radiotherapy(siasa)
Ilitakiwa iwe General Radiography then mwaka wa tatu mtu ana major kuwa aidha sonographer,general radiographer,nuclear medicine au radiotherapist
Huo utashi haukuzingatia zaidi taaluma uliangalia zaidi siasa (haya sio maneno yangu ni maneno ya mtendaji wa bodi ya wasajili wa wataalamu wa mionzi)Umenena vema sana mkuu, lakini pengine sio siasa bali ni utashi tu Wa wafanya maamuzi kwa kuzingatia mahitaji ya nchi kwa wakati huo ?
Mchango wako unaweza kuchukuliwa na mtoa mada kwamba Dental Surgery ni bora kuliko hii Radiotherapy ?