Deni la Taifa sasa lafikia 39 trillioni

Deni la Taifa sasa lafikia 39 trillioni

dah alafu bado unakuta mtu anasema eti tuichague ccm kwa lip?poor ccm
Walimu ndio hao wanaona shemeji anaondoka kimya kimya wakaamua kuvunja ukimya. BAK MANI tpaul na wengineo
 

Attachments

  • 1430477702030.jpg
    1430477702030.jpg
    67.8 KB · Views: 394
Last edited by a moderator:
- Deni la taifa

- kuporomoka kwa shilingi

- siasa chafu

Am worried tunakoelekea Tanzania..really worried!!!

Mimi sijui hata hizi rasilimali nyingi tulizonazo na mitaji ya uwekezaji wa kila rangi hadi wa bata na samaki anakula nani manake maisha yetu yanategemea mikopo. Wawekezaji kibaaaao lakini hatuna fedha ya kigeni hadi tukauze maua nje hawa watu wanakuja watupu na kaputura zao? nasikia mapesa yoote wanayodaiwa kuwekeza wanakopa humu humu ndani na wakipata faida wananunua midola BOT na wanaihamisha kwenda makwao ni kwa vipi hapo shilingi isihamie kuzimu?
 
Bahati mbaya miradi yenyewe tukoteketeza fedha zetu mingi hailipi hata 25% ya makusudio yake, sababu ya kwanza kubwa ni kucheleweshwa mno. Mfano, mradi wa DART umetumia mabilioni mengi sana lengo ikiwa ni kupunguza foleni jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, foleni inazidi na haielekei kuwa DART itapunguza foleni badala yake itaiongeza. Ina maaana kuwa fedha yoote tuliyokopa ni kama tumeichoma moto, haina faida yoyote kwenye uchumi wa nchi kwani mzigo wa kiuchumi unaosababishwa na foleni unaongezeka. Pili DART imechelewa mno toka ilipopangwa kuwa ianze. Ikumbukwe kuwa mkopeshaji huanza kuhesabu siku fedha inapochukuliwa na si siku unapomaliza mradi. Maanake ni kuwa kuendelea kuchelewa kwa DART ni kuendeleza mzigo wa kiuchumi Jumlisha sasa tuna deni linaloanza kuzaa faida, hata kama ni kwa asilimia ndogo.
 
kiukweli mimi naona tumeingia kwenye shimo ambalo ata tufanyaje atuwezi toka kwa kuwa ata waziri aliongia kuchukua hiyo nafasi hajajua nini cha kufanya kila siku anakuja na sababu leo hii shillingi inashuka anasema sababu atuhuzi chochote nje ya nchi.
hela za uchaguzi zitatoka wapi wakati nchi haina pesa za kufanya uchaguzi
tuwe makini kwenye uchaguzi ujao kwa maaana itamua muafaka wa taifa zima kwa kizazi kinachokuja na maendeleo ya taifa hili
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii nchi ilisha uzwa so huu ni wakati wa kuikomboa nchi yetu kwa pamoja na nguvu moja ya ukawa
 
Bila kuweka ccm kando,hatuwezi kupata majibu ya maswali mengi yaliyojitokeza kwa wachangiaji wengi hapo juu.Watanzania tuweni wajasiri wa kukubali mabadiliko,tusitishwe na propaganda zinazosimamiwa na mafisadi walioajiri watu humu ndani (JF) kuponda hoja mbalimbali zenye lengo la kuitetea serikali iliyopo madarakani.Tuchukue hatua!
 

  • “The loans acquired were directed to implement development projects and especially, infrastructures (roads), energy, transport, education and water'
    Hapo ndio ugomvi wetu unaoanzia....how do you quantify those so called development projects

    Ina maana kila siku tunalipa kodi, bajeti inatengwa tena kubwa tu , bado hawasemi wamekopa kiasi gani kwa miradi ipi.... wanazungumzia bara bara zipi, nishati zipi, shule zipi....? na mwisho wa siku mtu duni ndio atakaelipa hiyo kodi.... a nonsense comes when they spend too much and borrow a lot for luxurious expenditure...Rais mpaka sasa amaetmiza safari 1000, sasa piga 1000*300,000usd= 300,000,00 USD... hiyo ni safari bado mikiki mikik ya Kilimo kwanza sijui na ujinga gani.... Kikwete anatuachia nchi inayoelekea kwenye mparanganyiko... ona dana dana za Uchaguzi, pengine ni donor anatafutwa na pesa hakuna.... tumekwisha.





















 
... Kidumu Chama Cha Mapinduzi, Chagua Ccm, Chagua Fisadi, Uchumi Ukue..!
 
Ndg, ya kushangaza ni mengi sana. Sijui ni miradi ipi ya maji, elimu ipi iliyo gharimiwa kiasi cha kusababisha deni la taifa kupaa

Elimu yenyewe wanafunzi hawana madawat, chakula hakuna mishahara mbuzi. Madarasa, maabara hakuna.
 
Mnyika alisema "tumefika hapa kutokana na upuuzi wa serikali ya CCM"
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Alaf unaambiwa uchumi unakua kwa kasi ya ajabu. Washafanya watu makinda sanaa hatujui kinachoendelea.
Watu wanakuja Tz wanafungua kampuni za kishen.z shen.z tu wanachota multi-millions of dollars kwenye viroba alaf hao wanajikataa makwao. Complete Shame.
 
Nchi ipigwe bei sasa

Ilishauzwa vipande vipande, tena bila stakabadhi halali ya mauzo, mfano hamna mtanzania wa kawaida anayejua kilichojiri kwenye mapatano ya Beijing yaliyoleta mikataba 18 (na mingine kadhaa ambayo haikutajwa wala kuwekwa sahihi mbele ya waandishi wa habari).
 
  • Thanks
Reactions: BAK
2005 wakati Kikwete anaingia madarakani deni lilikuwa 10 Trillioni miaka 10 baadaye limeongezeka kiasi hiki au sawa na ongezeko la 2.9 trillion kwa mwaka.
Serikali ya Mheshimiwa Rais JK. ni Serikali ya Usanii yaani Serikali ya Rushwa na Ufisadi mwingi tu Deni litazidi kuongezeka kuna Usanii mwingi ndani yake kwenye Serikali ya Mheshimiwa Rais Jk.
 
Back
Top Bottom