Hii shida yote inaletwa na uongozi mbovu. Nchikuongozwa na miburura, inayojali kuuza sura na matumbo yao binafsi, inaua taifa na kujenga matabaka.
Tunahitaji serikali itoe maelezo sahihi hizo fedha zimekopwa ajili ya nini na zimetumikaje. Haiwezekani kulibebesha taifa mzgio wa klipa madeni yasiyokuwa na tija kwa taifa.
Mfumo mbovu wa ukusanyaji kodi na matumizi mabaya ya raslimali za umma yanaongeza budgetary gapes. Uzandiki na uamuzi mbovu wa matumizi nje ya budget, umelifiksha taifa mahala lilipo.
Ninaomba ccm wapigwe chini, kwa lazima kabla hawajaendeleza ubadhilifu na uharibifu, ukizingatia sasa wanataka wajongezee muda wa kukaa madarakani ili wafisadi zaidi na kukamilisha upu.bavu wao wanaoupanga.