Kodi mbona tunalipa lakini hatuskii deni la nchi likilipwaMlipa deni ni mkopaji, hivyo mtanzania ndiyo anawajibika.
Lipa kodi ili deni lipungue hadi kuisha.
Deni liishe ili akili zilale! Kudaiwa kuna raha yake.Kodi mbona tunalipa lakini hatuskii deni la nchi likilipwa
Kwahyo tuongeze deni ili tuendelee kudaiwa siyoDeni liishe ili akili zilale! Kudaiwa kuna raha yake.
Bila shaka, kukopa ndiyo kuendelea.Kwahyo tuongeze deni ili tuendelee kudaiwa siyo
Mama mitano tenaBila shaka, kukopa ndiyo kuendelea.
Kwani mkuu tulishawahi kuombwa ushauri na viongozi kabla ya kukopa?Ushaambiwa deni la taifa, Kuna haja ya kuuliza mlipaji kweli au hujui taifa ni nin
Kiongoz au hujui mbunge ndio muwakilishi wako pale bungeni, Yaani kile anachokisema mbunge wako pale bungeni ndio wew, kwahyo kama mbunge wako kichwa mtindi ndio muwakilishi wako.Kwani mkuu tulishawahi kuombwa ushauri na viongozi kabla ya kukopa?