Kihwamngwada
Member
- Aug 11, 2014
- 7
- 0
Sasa hizo pesa zinatumika wapi wakati kila kitu anasema anatumia pesa yetu?!! Hapo ndio kuna tatizo, miradi yote anasema ni fedha zetu, hilo deni lina kuwa vipi sasa?!!
Utalipa wewe kwa Kodi yako.Nani atalipa sasa😆😆
Mbona ni dogo sana ukilinganisha na miradi mikubwa inayoendelea kwa sasa hapa nchini. Angalau tufikie 100 Trillioni basi.
Usichokijua wewe kukopa lazima uwe na sifa za kukopesheka. Jiulize hizo sifa za kukopesheka kazipata vipi?
Ubaya ni kwamba kuna complains bado za ajira ina maana watu wanafiki hawaseize opportunities katika hii miradi au hamna sera nzuri za uendeshaji ambazo zitaengage watu hata wa kawaida kujipatia vipato.Niliwahi sema huyu bwana atatuachia structures lakini tutabaki masikini wa kutupwa.
Kwa mujibu wa Zitto,ripoti ya Benki ya Dunia teyari imeonyesha ongezeko la watu masikini wapatao milioni 2 tangu huyu bwana achukue madaraka.
Tafsiri ya haya madeni ni serikali kutumia makusanyo ya ndani kuhudumia deni la Taifa na matokeo yake ni serikali kupunguza uwezo wa kuajiri,kununua madawa,kugharamia elimu,kutoa mikopo ya elimu ya juu,kupambana na umasikini,miradi ya maendeleo kuathirika kwa kukosa fedha za kutosha,serilali kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi,kulipa madeni ya ndani,n.k.
Kwa kifupi, haya madeni ni janga kubwa sana kwa Taifa na yanachangia umasikini wa mtu mmoja mmoja kwa njia mbalimbali.
Na bahati mbaya sana,baadhi ya miradi tunayokopea fedha kuitekeleza ni white elephant projects kwahiyo ni hasara juu ya hasara.
Mbona ni dogo sana ukilinganisha na miradi mikubwa inayoendelea kwa sasa hapa nchini. Angalau tufikie 100 Trillioni basi.
Aksante kwa kutujuza kila harua ya deni letu linavyoongeka je mikopo haitumiki katika matumizi sahihi yaliyokusudiwa na deni lote ni la awamu ya tano tu au tangu nyerere!
Hamna nchi ambayo haina deni, nenda kaangalie deni la marekani uone balaa... hilo deni kulinganisha na mambo yanaofanyika ni level zetu! Kitu kingine ulitegemea zito aseme umasikini umepungua kweli?Niliwahi sema huyu bwana atatuachia structures lakini tutabaki masikini wa kutupwa.