Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
ko una kili ki namna flani kwamba pesa ya kuendesha hii miradi tumekopa na sio kama jiwe anavyo jitapa eti pesa za ndani.Mbona ni dogo sana ukilinganisha na miradi mikubwa inayoendelea kwa sasa hapa nchini. Angalau tufikie 100 Trillioni basi.
Mbona ni dogo sana ukilinganisha na miradi mikubwa inayoendelea kwa sasa hapa nchini. Angalau tufikie 100 Trillioni basi.
Kwa mujibu wa taarifa toka ITV, Deni la taifa laongezeka hadi kufikia shilingi trilioni sitini na moja nukta nane.
View attachment 1011741
Nani atalipa sasa😆😆
ko una kili ki namna flani kwamba pesa ya kuendesha hii miradi tumekopa na sio kama jiwe anavyo jitapa eti pesa za ndani.
kwamba unampinga mwenyekiti kwamba sio dona katri bali anakopa kinyemela (kama zzk alivyo wahi sema)
sisimu bwana mnafurahisha sana, mkuu akisema ni pesa za ndani mnakenua ikionekana deni limepanda jibu ndo kama ilo lako.
bro una akili ndogo hadi nimeogopa kama kuna watu dizaini iyo.
Tukisema rais wetu ni muongo wa kipaji mnapanic ile mbaya. Deni linatoka wapi wakati kila siku hadithi ni kwamba tunatumia fedha zetu za ndani? Tukisema huwa kiwango cha makusanyo ni cha kupika huwa mnalialia nini? Magu ataliachia taifa hili deni ambalo halilipiki kwa ajili ya political milage.
Ili Rais atakaye kuja basda ya yeye ajue anakazi ya kufanya. Hatutaki nchi hii iwe tena na Rais mwenye mentality ya kwenda kupiga picha na macelebreties wa ulaya ama kubembea ama kwanda kushangaa uwanja wa Real Madrid yaani mkuu wa nchi limbukeni. Atakaye taka Urais ajue ana kazi seriously za kulifanyia taifa ikiwemo kulipa deni la maana hasa.
So anakopa harusi anamuachia matanga ajaye? Hili la kukopa ni nani anashindwa? Zile kelele za kwamba ni pesa za ndani huwa anazitoa wapi?
Kwani hizo pesa ametumia magufuli na familia yake. ?Niliwahi sema huyu bwana atatuachia structures lakini tutabaki masikini wa kutupwa.
Kwa mujibu wa Zitto,ripoti ya Benki ya Dunia teyari imeonyesha ongezeko la watu masikini wapatao milioni 2 tangu huyu bwana achukue madaraka.
Tafsiri ya haya madeni ni serikali kutumia makusanyo ya ndani kuhudumia deni la Taifa na matokeo yake ni serikali kupunguza uwezo wa kuajiri,kununua madawa,kugharamia elimu,kutoa mikopo ya elimu ya juu,kupambana na umasikini,miradi ya maendeleo kuathirika kwa kukosa fedha za kutosha,serilali kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi,kulipa madeni ya ndani,n.k.
Kwa kifupi, haya madeni ni janga kubwa sana kwa Taifa na yanachangia umasikini wa mtu mmoja mmoja kwa njia mbalimbali.
Na bahati mbaya sana,baadhi ya miradi tunayokopea fedha kuitekeleza ni white elephant projects kwahiyo ni hasara juu ya hasara.