Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
mimi nafikiri kuna haja ya kupeleka mswada bungeni kufuta pensheni zote za rais yeyote atakae itia hasara nchi hii itasaidia sana kuendelea kutotumia kodi zetu kumtunza mtu alieliletea hasara taifa
Hawezi kuziweka hapa hadi arudi kwa aliye mtuma kupost hicho alicho kiandikaMkono mtu haulambwi, leta facts kusapoti hoja yako.
hatutaki takwimu,tunataka uhalisia.hiyo ni sawa na pale zamani tulikuwa tunafundishwa historia ya ufaransa wakati tuko tanzania!Kwa nini unalilisha maneno? Siyo mimi niliyesema kwamba uchumi unakuwa bali ni wataalumu wa kiuchumi na nimekupa link hapo sasa kama wewe unapingana nao una haki ya kufanya hivyo lkn pia ni vizuri ukaja na takwimu zako ambazo zinakinzana na hizo!
kwa mantiki hiyo huyu mh kwa muda wamiezi7 ameshakopa zaidi ya trillion 10? kana ni hivyo hii ni hatari aise29 trillion
Wewe tulishakwambia kuwa mambo yanayohitaji kutumia akili ukae pembeni,maana unajiaibisha bureSasa muongo ni nani? N mimi au IMF, World Bank, na World economic forums waliosema TZ yetu ni ya Pili Afrika?
Chanzo hiki hapa mimi nimenukuu tu!
Which are Africa’s fastest growing economies?
hatutaki takwimu,tunataka uhalisia.hiyo ni sawa na pale zamani tulikuwa tunafundishwa historia ya ufaransa wakati tuko tanzania!
Ndiyo ujue mkuu hao unao jibishana nao ni watu wanaopewa nini cha kujibuSasa kama walikuwa wanalipa madeni deni la taifa si lingepungua ? unajua deni la Taifa lilikuwa shilingi ngapi 2015 ?
Ebu nenda ukajenge madungu ya kujiokoa na mafuriko ndiyo utakayo yaweza haya mambo ya kisomi waachie wenye uwezo nayoNafikiri labda una upungufu wa uelewa wa mambo ya Kiuchumi, nchi kuwa na yenye Uchumi mkubwa Duniani USA ina deni la 102% ya uchumi wake wote (GDP)!
Kina mkamiaChanzo BBC? Hii inaoajiri villaza kutokea TV za bongo??? Ha ha ha
Ok.point taken.Hilo unabidi umwambie aliyeleta Mada, mimi nilikuwa namjibu tu kwa takwimu kama yeye alivyoleta hizo takwimu pia!
Tatizo mkuu umejitoa akili mzee jk aliacha deni ambalo ni ~trilioni 30 ,kila mwezi Awamu ya tano imekusanya zaidi ya trilioni Moja mpaka sasa sasa nijibu zKatika miezi hii sita? Lete takwimu!
Kukopa sio issue. Matumizi ya mkopo ndiyo issue. Ukikopa ukatengeneza reli Standard Gauge kuna tatizo gani kwa mfano?
Tatizo ni Kukopa ilizitumike kwenda kubembea Jamaica!
Unaweza ukawa unapendeza nguo nzuri gari safi nyumba familia inasoma pazur chakula saf kila mtu atasema we unamafanikio zaidi ya wengine ila shughuli izo zote ulikua unafanya kwa pesa ya mkopo inamaana unazidi kudaiwa pamoja na kua unamaendeleo kwa kasi yani unapendeza kwa hela ya shemeji kwa namna nyingine siku dada akiachika ndo utaaibika ndo mana deni linakua coz barabara na majengo yote hela ni ya mzungu ulaya sio kodi yako au unajua mjapani na mchina wanatoa hela bure nn wanasema msaada kisa ni mkopo wa riba nafuu yani pesa ya riba ni ndogo tofauti na mwingine tena kisa unampa kipande cha aridhi chenye madini ndo mana jaribu kuumiza kichwa kwel binadamu tunatofautiana ndo mana ukitaka kujua ilo mte mtt hesabu nguvu mvivu akiona tu anaanza mapema bwatuka izi sijawai fundishwa wala sijui siwezi ila mwenye akili ataangalia kwa toka namba ya kwanza hadi ya mwisho na kufanya kwa kichwa atapata jibu kua hii bado kidg cjaelewa sasa na we vilevile umiza kichwa kidg kabla ya kusapoti au kupinga hojaUnamaanisha nini unaposema Uchumi unazidi kudorola? Uchumi wetu unakuwa kwa zaidi 7% na sisi ni wa Pili wa ukuaji kasi wa uchumi Afrika baada ya Ivory Coast na hii kulingana na UN, WB,IMF sasa huko kudorola unamaanisha nini labda?
Ndiyo tunaisoma mkuukwa mantiki hiyo huyu mh kwa muda wamiezi7 ameshakopa zaidi ya trillion 10? kana ni hivyo hii ni hatari aise
GDP kwa mujibu wa data wa IMF na WB hawa ndo wenye uchumi wao Tanzania ni ya pili kwa ukuaji wa uchumi na imeiplace Ghana katika hiyo nafasi japo ukuaji ni chini ya 7%. Sasa wewe chanzo chako ulichotuwekea hapo ni cha kuaminika? Sio unaokoteza kila unaloliona kwenye internet na kudhani ni sahihi, umefanya assessment ya hicho chanzo chako cha habari na kujiridhisha? Kama unapinga WB na IMF ambao ndo wanacontrol uchumi unataka ukweli gani?Kwa Africa tumepitwa hata Rwanda ,ethiopia ... ivory cost inaongoza acha uongo
www.tradingeconomics.com/tanzania/gdp-growth-annual
Hili ndilo deni linalotukabili, ni deni lilioongezeka mara nne (4) zaidi ukilinganisha na hali ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.
Nadhani magufuli hana choice Bali kuendesha nchi kadri utashi wake wa kizalendo utakavyomwongoza. Kama hatafunga boot ataondoka na deni likiwa limeongezeka tena , hapo hatakuwa na distinction hata aweza kujiona kama hakukuwa na maana ya kuwa kiongozi.
Tunamuombea kwa Mungu ampe sura na moyo wa simba
Alizokopa zimeenda wapi? Kuna walakini hapa.kwa mantiki hiyo huyu mh kwa muda wamiezi7 ameshakopa zaidi ya trillion 10? kana ni hivyo hii ni hatari aise