Deni la Taifa kwa sasa ni Trilioni 82, na siyo Trilioni 70 kama alivyosema Spika Ndugai

Kuna watu ni wehu, Magufuli alikopa huo ukweli na Wala mkopo haukua Siri, vyombo vya habari vilireport
Hahahaa huyo aliye kuwa anasema tunajenga kwa vyanzo vya ndani kumbe muongo , vyombo gani vili report mikopo ya magufuli we jamaa wewe.
 
Nimeona wengi wamekua na mkanganyiko sana kuhusu deni la taifa, lakini hii naona ni changamoto kwa wanahabari.
Wanahabari wanapaswa kuweka sawa ila hawajafanya hivyo kwa sababu wanazojua wao na sijui ni kwa nini.

Deni la taifa sio kitu Cha Siri, kwa maana report zinatoka kila mwezi kupitia BOT ni suala tu la kuingia kusoma na kujua basi.

Deni la taifa kwa sasa ni trillion 82 na Wala sio trillion 70 kama alivyosema Spika Ndugai na nadhani alipitiwa kidogo.

Deni la nje (external debt) ni trillion 64.4
Na Deni la ndani(domestic debt) ni Trillion 17.6 na jumla yake ndio hiyo trillion 82.

Ukweli ni kuwa deni linakua kwa kasi ya mwanga, maana speed ya kukopa ipo vizuri.

Na inakadiriwa katika miaka miwili ijayo litakuwa zaidi ya trillion 100

Pia soma: Thread 'Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78' Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

Nawasilisha
View attachment 2062505View attachment 2062506
Vipi umeshawahi kuathiriwa vipi na deni la taifa?
 
Huwa sina kawaida ya kubishana na masikini au mafukara watu ambao wanaishi duniani bila ramani, nitashusha hadhi yangu.

Sitakujibu tena.
My diagnosis reveals that you encountered “Meconium Aspiration” that caused you “Birth Asphyxia”

In simple terms that your lame brain may understand is that: you sipped uterus discharge of the abrasion; diluted with fetus’ first faeces during your birth which critically negatively impacted on your brain for limited supply of oxygen. Ask your wife not to date me in your funeral.
 
Huwa sina kawaida ya kubishana na masikini au mafukara watu ambao wanaishi duniani bila ramani, nitashusha hadhi yangu.

Sitakujibu tena.
When the destitute (you) talks to the rich (I) he must plan and strategize his communication by choosing the best wisdom out of the weird. You have critically flopped in that.
 
We jamaa hesabu zipo kichwani kweli!?
Mkuu,

Sorry, ni oversight hiyo, I even noticed it later, I was rushing to post before Makamba took his power for rationing.

But even Isaac Newton made an error that went unnoticed and trained Professors and Dons for 300 years until a mere form three student later detected the error.

Usahihi ni huu kwamba bado tuko mbali sana kufikia Quad. Duniani kote nchi 255 zilizo wanachama wa UN (ukiondoa Kosovo na Vatican) ni China pekee ndiyo bajeti yake iko kwenye Quad kwa ela za Kitanzania (CNY 1,190,000,000,000 (2021)) sawa na (Tshs. 430,399,200,000,000).

Key:
1,000,000 Million
1,000,000,000 Billion
1,000,000,000,000 Trillion
1,000,000,000,000,000 Quadrillion
1,000,000,000,000,000,000 Quintillion
1,000,000,000,000,000,000,000 Sextillion
1,000,000,000,000,000,000,000,000 Septillion
1,000,000,000,000,000,000,000,000,000 Octillion
1, 000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 Nonillion
1, 000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 Decillion

Mwisho wa kuhesabu tarakimu duniani (hakuna zaidi ya hapo).

Mkuu, for such detailed clarification, do we still have unity of purpose?
 
Data hizi zipo wazi na sijui kwa nini wengi hamtaki kabisa kujishughulisha nazo.
Magufuli jumla alikopa trillion 28
Kikwete jumla alikopa trillion 33
Mama Samia hadi sasa trillion 11
Kwahio trend kama asipowekwa chini ya uangalizi mkali miez 20 ijayo atakua amevuka den la jk la miaka yake 10
 
Kwa kifupi deni la mama halina ribs maana yamefanyika msjumuisho ya mkwanja ambao amepokea.

Siyo sahihi....mleta mada amesema kwa mujibu wa bot Deni la taifa limefika 82t na akasema magu aliacha Deni likiwa 71t...kwa maana ikaanza kusemekana mama kakopa 11t....Sasa wanasema kwenye report za bot wanainclude na riba pia wanapotoa taarifa za Deni la taifa...kwa maana hyo inawezekana sio kweli kuwa magu alikopa 28t kama ambavo inasemekana maana kwenye hyo 71t aliyoacha magu riba imewekwa. Na kwa jinsi hyo siyo kweli kuwa mama kashakopa 11t maana kwenye hyo 88t kwenye report ya bot riba imejumuishwa pia. Mkuu Mimi sipo kishabiki ninachotaka ni uhalisia....Haya maneno ya kwenye kanga ya wanasiasa Mimi Wala sipo nao kabisa.
 
When the destitute (you) talks to the rich (I) he must plan and strategize his communication by choosing the best wisdom out of the weird. You have critically flopped in that.
Narudia tena, huwa sina mazoezi kabisa na watu masikini wasiojitambua kama wewe. Kitendo cha kushindwa kijikita kwenye mada kinaonyesha how desperate you're.
 
My diagnosis reveals that you encountered “Meconium Aspiration” that caused you “Birth Asphyxia”

In simple terms that your lame brain may understand is that: you sipped uterus discharge of the abrasion; diluted with fetus’ first faeces during your birth which critically negatively impacted on your brain for limited supply of oxygen. Ask your wife not to date me in your funeral.
How does the feaces negatively impact the brain, and how does it causes limited supply of oxygen?

Unajua wewe unaandika tu vitu ukidhani humu kuna wajinga ambao hawawezi elewa kiingereza, kwanza grammatical errors nyingi na vitu unavyoandika havieleweki na wala havileti mantiki kabisa.

Masikini mna taabu sana, tafuta hela hizi lopolopo hazina nafasi yoyote hapa Tz.
 
Kwa maana hyo siyo sahihi kusema magu alikopa 28t na pia siyo sahihi kusema mama kashakopa 11t basi...au siyo mkuu
Mkuu riba ni sehemu ya deni.unapoenda bank kukopa 1M ambayo utatakiwa kurejesha baada ya miezi na riba yake ya Tshs 200,000 hapo inahesabika hela unayodaiwa ni 1,200,000 na sio 1M tena.
 
Mkuu riba ni sehemu ya deni.unapoenda bank kukopa 1M ambayo utatakiwa kurejesha baada ya miezi na riba yake ya Tshs 200,000 hapo inahesabika hela unayodaiwa ni 1,200,000 na sio 1M tena.
Mkuku nimegundua hii platform imejaa watu walio na hasira sana n'a Hayati kiasi kwamba wanapambana kila baya liwe lake.

Lakini pia kutokana na ugumu wao wa kuelewa na kuchanganua mambo, nimegundua wengi ni wale vyeti feki ambao Hayati aliwagusa moja kwa moja.
 
Sasa Unakasirika nin na huo ndiyo ukweli,

Kwan Magufuli tokea amevuta mwaka umeisha?sasa hilo deni la trillion 71 kutoka trillion thelathin limetoka wapi,kakopa Samia ndan ya hii miez michache?? kwann hamtak kuukubali ukweli?jamaa yenu jiwe alikuwa malaioa Kwan?
Hao ni wahuni wanao ona fahari nchi kudidimia ni binadamu wa kuuliwa na kutupwa wakiwa uchi mbele ya familia zao ,
 
Mkuu riba ni sehemu ya deni.unapoenda bank kukopa 1M ambayo utatakiwa kurejesha baada ya miezi na riba yake ya Tshs 200,000 hapo inahesabika hela unayodaiwa ni 1,200,000 na sio 1M tena.
Kumbe tunaongelea Deni.....nilidhani tulikuwa tunaongelea tumekopa kiasi gani....kukopa na kudaiwa ni sawa.???
 
Siyo sahihi....mleta mada amesema kwa mujibu wa bot Deni la taifa limefika 82t na akasema magu aliacha Deni likiwa 71t...kwa maana ikaanza kusemekana mama kakopa 11t....Sasa wanasema kwenye report za bot wanainclude na riba pia wanapotoa taarifa za Deni la taifa...kwa maana hyo inawezekana sio kweli kuwa magu alikopa 28t kama ambavo inasemekana maana kwenye hyo 71t aliyoacha magu riba imewekwa. Na kwa jinsi hyo siyo kweli kuwa mama kashakopa 11t maana kwenye hyo 88t kwenye report ya bot riba imejumuishwa pia. Mkuu Mimi sipo kishabiki ninachotaka ni uhalisia....Haya maneno ya kwenye kanga ya wanasiasa Mimi Wala sipo nao kabisa.
WAHUNI HAWAWEZI KUKUELEWA WATAJIFANYA
AWAJUI ULICHO SEMA NA LOGIC YAKE
 
Narudia tena, huwa sina mazoezi kabisa na watu masikini wasiojitambua kama wewe. Kitendo cha kushindwa kijikita kwenye mada kinaonyesha how desperate you're.
Unfortunately, I’m unable to dictate yr choice of treatment to me, that ability inhabits you, as such, my attitude and reaction are based on yr choice of the kind of treatment you feel I deserve. You set the fire that you cannot extinguish!
 
Back
Top Bottom