Kwenye GDP yao ya kubumba ya billion 98, billion 75 ni deni π π π so real GDP bora hata BurundiKenya ni pimaaaaa pimaa pimaaaaa pimaa
Halafu pia
Kenya ni kopaaa kopa kopaa kopaa, kopa kwa huyu, lipa kwa yule, kopa bond, lipa deni lilee. Kopa hela ili kulipa deni.
Uhuruto wanajua mchezo mzima. Ndo maana wanakimbilia BBI wamiangushie jumba bovu Baba RAO 2022Kenya ni pimaaaaa pimaa pimaaaaa pimaa
Halafu pia
Kenya ni kopaaa kopa kopaa kopaa, kopa kwa huyu, lipa kwa yule, kopa bond, lipa deni lilee. Kopa hela ili kulipa deni.