sekulu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 988
- 157
Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha.
Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni limekua kutoka KSH 1.8 Trillion Mpaka kufikia 6.7 Trillion mwaka 2020. huu ni ukuaji wa kasi ya mwendo kasi ndani ya Miaka 7 tu. Je, ukopaji huu una maana gani kwenye uchumi wa Kenya?
Fuatilia zaidi kweye video hapa chini.